Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Hii mvua ya leo ina makusudi, yaani imesubiri niachike ndo inyeshe usiku[emoji57]
Wakuu mlipo hali ikoje
Kwetu umepita upepo mkali Sana na vimulimuli vya radi nimeamka baada kusikia vitu vikianguka na kupelekwa na upepo baada ya kuchungulia nje nimeogopa kuona mti uliopo nje ya nyuma ukiyumbishwa Sana kiasi ya kunitia hofu ikabidi nikae attention hata Kama ukiangukia nyumba niweze kujiwahi umeme ukakatika na mvua ikaanza kidogo kidogo uzuri upepo mkali haukudumu inaoendelea mvua mpaka wakati huu hilo balaa limeanza saa sita na robo hivi
Wadau nyie mko wapi na hali ikoje huko?
Amkeni muda wa kwenda ibadaKumbe huo mchezo unaujua? Kwani wewe ni nshom... mwenzangu?
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Nilitoka bila kuaga ili nikamshugulikie vizuri baby mama, sahivi anaenda kanisa yupo vizuri mkuu,Yaani
Bangi tupu hakuna kushabu[emoji23][emoji1787]
Na usimkunje shemej sana kesho akashindwa kwenda ibadani ...
Amkeni muda wa kwenda ibada
Poleee [emoji38][emoji38][emoji38], usingizi ulinibeba kibwege sana, twende ibadaMtanisamehe bure ila mmenichekesha sana, sijui kama mpo serious au la
Mdogo mdogo nilienda [emoji23][emoji23]Usije sinzia kesho kwa ibada kisa Hard Rough game [emoji23][emoji1787]
[emoji125][emoji125][emoji124]
Mdogo mdogo nilienda [emoji23][emoji23]
Haya mavitu unaweza kata moto, yana pressure kubwa sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Inaoneka ulisinzia wakati wa Mechi[emoji132]
Usirudue
Haya mavitu unaweza kata moto, yana pressure kubwa sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Asbh pata supu ya kongoro mkuuKwenye ulaji wa mafuta ndo kumenishinda , unaamka umelegea Tank lote empty wewe hoii
magoti hamna ushirikiano na miguu
Asbh pata supu ya kongoro mkuu