JamiiForums Usiku wa manane

Yeah! Mvua imekata japo imetuachia mabwawa yaliyojaa vyura, naona wanamashindano ya kupiga kelele hapa
Huku gomz yaani ni kelele za vyura usiku kucha utafikiri vyura wapo kwenye kigodoro[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani ni shida! Nimekaa nikafikiria hivi wahenga walivyosema kelele za chura hazimkatazi tembo kunywa maji walitafakari sawasawa kweli? Mbona mimi zinaninyima usingizi [emoji18] [emoji18]
 
Ndio maana hawakusema hazimzuii Thad kulala, wakaweka ng'ombe kunywa maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…