Nilijidai nakula diet, ni kanywa glasi ya maziwa nikaiacha pilau jikoni ikiwa imepaliwa , kuna ndoto ya ajabu ilinistua ndo hio ikakata usingizi, nikiwaza kuamka uvivu na tumbo linanguruma tu.,Mkuu umeshtuka toka usingizini unakuta tumbo lipo empty
[emoji23][emoji23][emoji23]Nilijidai nakula diet, ni kanywa glasi ya maziwa nikaiacha pilau jikoni ikiwa imepaliwa , kuna ndoto ya ajabu ilinistua ndo hio ikakata usingizi, nikiwaza kuamka uvivu na tumbo linanguruma tu.,
Mie na diet za usiku ndo mwisho leo sitaki utani na mwili
Lala0159
Leo zamu yangu lindo[emoji23]Lala
Tuko pamojaLeo zamu yangu lindo[emoji23]
0209
Uko umeacha lindo jumlaa 😐Mnasema nimelala, mada zote kule forum nachangia peke yangu!