JamiiForums Usiku wa manane

Sijalala bro, ila fanya kunipa taarifa kidogo kuhusu adhma ya uzi.
Kwamba tunajadili nini hapa mkuu

Mmh!

Adhama
1. Umekwisha timiza
Kama tu huja lala

2.ni kosa kisheria ku "comment mchana😁
Night only...

3.Maelezo zaidi..
Soma.....Page. #1 from owner , thread



Muone
No escape
Akukabidhi
Tochi ,Filimbi,Na Rungu la mgambo
 
Shukrani kwa muongozo mzuri
Mmh!

Adhama
1. Umekwisha timiza
Kama tu huja lala

2.ni kosa kisheria ku "comment mchana[emoji16]
Night only...

3.Maelezo zaidi..
Soma.....Page. #1 from own thread



Muone
No escape
Akukabidhi
Tochi ,Filimbi,Na Rungu la mgambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…