JamiiForums Usiku wa manane

Kwani haya maji hayaleti samaki? Hawa vyura wanatoka wapi ghafla? Mvua ya siku moja tu wanasumbua mtaa mzima
Mi huwa sielewi kwa kweli,utafikiri vyura wanakaa standby kusubiria mvua ... ikinyesha tu hao. Wataalamu watusaidie kuhusu hili. Mbona maji hata yakituama mwezi hatuwaoni samaki.[emoji23] [emoji23]
 
Manga ML....tusalimie tafadhali maana naona wapita kimya kimya
 
Mi huwa sielewi kwa kweli,utafikiri vyura wanakaa standby kusubiria mvua ... ikinyesha tu hao. Wataalamu watusaidie kuhusu hili. Mbona maji hata yakituama mwezi hatuwaoni samaki.[emoji23] [emoji23]
Wewe jamaa tunaishi mtaa mmoja nini?

Hawa vyura jua lilikuwa linawaka wapo kimyaa. Na hakuna mto karibu.

Mvua ikinyesha maji yakijikusanya kidogo mavyura kama elfu saba utayasikia yanalia.

Mimi mwanzoni nilijua sio vyura lazima kuna namna.
 
Pengine tu majirani tusiojuana [emoji4] [emoji4]

Kwa kweli wanashangaza na kukera mno!
 
Siku ukiona nisan nyeupe usije ukadhani kuwa ni bashite.
Ujue ndio mimi huyo.
Huyu bibie mbona hajanitafuta? Kuna kitu nataka kumpa.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] kumbe ndo wewe mwenye nisan nyeupe hapo nyumba ya pili,nishakujua [emoji12] [emoji12]
Vp nikuitie utanilipa, baada ya kupeana hicho unachotaka kumpa?
 
Oya nakutania bwana.
Mimi sipo dsm nipo zimbabwe.

Muite aisee zawadi yako ni bucket ya kfc.
 
Mi huwa sielewi kwa kweli,utafikiri vyura wanakaa standby kusubiria mvua ... ikinyesha tu hao. Wataalamu watusaidie kuhusu hili. Mbona maji hata yakituama mwezi hatuwaoni samaki.[emoji23] [emoji23]
Vyura hulia usiku "croaking" kwasababu

1: Kuvutia female frogs, madume hu croak na majike husikilizia kuchagua yupi ni suitable mate (sauti zinatofautiana kwahiyo jike huweza kujua mlio wa kijivulana na mlio wa dume la kazi)

2: Ku claim territory, chura dume hutoa huo mngurumo kuashiria eneo fulani tayari kuna mmiliki na usijaribu kusogea.
 
Alaa kumbe furaha yao ndo wanatupa sisi kero? Ngoja kesho nikawanunulie lita 5 za mafuta ya taa niwamwagie nione watatongozeana wapi! [emoji57] [emoji57]

Wakati wa jua wanakuwaga wapi? Mbona mvua ikinyesha tu ndo wanaibuka?
 
Nahisi kaubaridi nako kanachangia [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…