Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
12:18
Kwemaa???!
Muwe na lindo tulivu.[emoji7]
Kule kupo shwari ingawa kiti chako bado kipo wazi
Jamani changamsheni tukate usingizi
Ila Lindo Lina mbu balaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa naona wanaleta pneumonia😜😜Wanakufanya usilale mkuu ndio dhumuni la uzi kuwa na mbu wengi.
Poa kabisa,za kwakomkuu mambo
Pumzika my dear,Mungu akipenda kesho.Oooh! Ulivyonitajia tu lile chimbo nimepata usingizi ghafla
Niko njema.0019Hrs
Humu kwema kabisa hofu kwa sasa ni kwako?
Uwe na usiku mwema mkuu wenye utulivu na usingizi murua![emoji7]
kigumu ukimaanisha watu awako lindo....?Leo kijiwe kigumu
wasaalammkuu Jagiya salaam
kigumu ukimaanisha watu awako lindo....?