onlyalvira
JF-Expert Member
- Dec 9, 2013
- 1,499
- 3,121
Pole sana mkuuMajira ya saa 5:28:07 nilipokea simu kutoka kwa sister yangu juu ya taarifa ya msiba wa Bibi yetu mpendwa (Bibi mzaa Baba).
Kwa sasa usingizi umekata, Najipanga kuwapa wazee taarifa mapema asubuhi, wakipata taarifa usiku huu tunaweza kuzua mengine.
Bibi alianza kuumwa zaidi ya wiki 2 zilizopita na alikuwa kwenye mashine ya Oxgen takriban siku15.
Alikuwa amelazwa Hospital ya Mloganzila.
Bilashaka atasafirishwa na kuzikwa Kirua Vunjo Moshi.
Pole sana mkuu kwa msibaMajira ya saa 5:28:07 nilipokea simu kutoka kwa sister yangu juu ya taarifa ya msiba wa Bibi yetu mpendwa (Bibi mzaa Baba).
Kwa sasa usingizi umekata, Najipanga kuwapa wazee taarifa mapema asubuhi, wakipata taarifa usiku huu tunaweza kuzua mengine.
Bibi alianza kuumwa zaidi ya wiki 2 zilizopita na alikuwa kwenye mashine ya Oxgen takriban siku15.
Alikuwa amelazwa Hospital ya Mloganzila.
Bilashaka atasafirishwa na kuzikwa Kirua Vunjo Moshi.
Una njaa meku, gonga hata chaiMungu ni wa ajabu sana,ukiwa na Njaa usingizi hata uutafute kwa tochi huupati!
Hivi unaitwa nani vile0556
Kukusanya silaha karibia tunafunga lindo
Mapema sana, ngoja tupige story0600
Tunafunga lindo sasa
Na iwe siku njema kwenu.