dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
fresh captain..!! niajeMambo vip mkuu
Bebe...nakuomba Pm kwa dakika kadhaa[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji120][emoji120]
Fresh sana tu mkuufresh captain..!! niaje
Mekumithiii dingiamen..!!
Hao jirani zako wako wapi mamy? Plz waambie warudi huku kabla sijazidiwa![emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji120][emoji120]
Mzima mamii?Haya njoo sasa
amna mbaya captain karbu kilingine siku nyingine tenaFresh sana tu mkuu
Nimepita kuwacheki aiseee!!
Wacha nilale
Mambo vipi Dear?Sina kwa kweli....maana umri wangu ni sawa na wa Mugabe, na serikali yake imetangaza aitwe baby maana hajazeeka [emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji8] miss ney yaani mimi nimkumithii hadi natamani ningekubeba na mbelekoMekumithiii dingi
Nadhani nia yao kwako sio nzuri, walivyo visirani ukiwa na hali mbaya ndio watakuja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hao jirani zako wako wapi mamy? Plz waambie warudi huku kabla sijazidiwa!
Safi mpendwa! Jana sikukuona kabisa...Mambo vipi Dear?
Akhsante sana mkuuamna mbaya captain karbu kilingine siku nyingine tena
Ahahahaaaaaa ulipotelea wapi jamani, I thought umekumbwa na mafuriko ndugu yangu[emoji8] miss ney yaani mimi nimkumithii hadi natamani ningekubeba na mbeleko
Kulikoni baby wangu mbona unanitisha jamani mambo ya gizani ni ya nini? [emoji4]Bebe...nakuomba Pm kwa dakika kadhaa
Mi mzima luv. Vipi wewe?Mzima mamii?
hahahaha!!! hamna nafuriko kwangu hayana nafasi, yaani nilikua hukoo kiwangwa. rufiji nertwork hamna bas shida tupu kwema lakin huko??Ahahahaaaaaa ulipotelea wapi jamani, I thought umekumbwa na mafuriko ndugu yangu
Jana nilikuja kwa kuchelewa nadhani ulishasign out,Safi mpendwa! Jana sikukuona kabisa...
Mungu anawaona! Atanilipia kwa mateso wanayoyasabishia mtima wangu kwa kuwahamu [emoji18] [emoji18]Nadhani nia yao kwako sio nzuri, walivyo visirani ukiwa na hali mbaya ndio watakuja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wala hata sikuteki My BAE, njoo tu...something importantKulikoni baby wangu mbona unanitisha jamani mambo ya gizani ni ya nini? [emoji4]
Au unataka kuniteka???
Namshukuru Mungu kwakweli nipo poa mpenzi, wapi baba chanja [emoji4]Mi mzima luv. Vipi wewe?