Huku kwema kabisa mydear, tumefurahia uwepo wako jamani. Karibu sana aiseehhahahaha!!! hamna nafuriko kwangu hayana nafasi, yaani nilikua hukoo kiwangwa. rufiji nertwork hamna bas shida tupu kwema lakin huko??
Ok, kweli sikuzurura sana humu...niondoka nikawaacha akina Maserati, Manga ML na wenzao!Jana nilikuja kwa kuchelewa nadhani ulishasign out,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mungu anawaona! Atanilipia kwa mateso wanayoyasabishia mtima wangu kwa kuwahamu [emoji18] [emoji18]
Okey let's go [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]Wala hata sikuteki My BAE, njoo tu...something important
anza weweOkey let's go [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Kabisa...uzuri wanajua cha kunilipa [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Itabidi wakulipe kwakweli najua maumivu yake kwa mtima
asante..!! hata mim nimefurahi maana nilikua na wasiwasi isije kuwa umepatwa na mafuriko kama wale wakazi wa boko, weekend yako inaendajeHuku kwema kabisa mydear, tumefurahia uwepo wako jamani. Karibu sana aiseeh
YeahOk, kweli sikuzurura sana humu...niondoka nikawaacha akina Maserati, Manga ML na wenzao!
Oooh! Mnanikumbusha tangazo la tigo enzi hizo za kulonga bure usiku ".... kata,kata wewe....."anza wewe
Sasa maswala ya kunifanya chambo sitaki, why mimi nitangulieanza wewe
Poa ndugu yetu, karibu sanaMambon wandugu aa uthiku wa manane
[emoji23] [emoji23] [emoji23] twende wote mwaya....(nilivyo shilawadu watu wote watajua mlichokiongelea huko)Sasa maswala ya kunifanya chambo sitaki, why mimi nitangulie
Nimeanza kutokukuamini, au nirudi kumchukua Thad anisindikize? [emoji4]
Mbona sikuelew baby
Asante madam, mana leo nimeazima usingiz kwa jiranPoa ndugu yetu, karibu sana
Haya nakuja bae wangu...daaahSasa maswala ya kunifanya chambo sitaki, why mimi nitangulie
Nimeanza kutokukuamini, au nirudi kumchukua Thad anisindikize? [emoji4]
Mbona sikuelew baby
Ahahahaaaaaa haiwezekani kabisa, namshukuru Mungu kwakweli weekend ndio hiyo imeishia kwa kitanda [emoji23][emoji23][emoji23]asante..!! hata mim nimefurahi maana nilikua na wasiwasi isije kuwa umepatwa na mafuriko kama wale wakazi wa boko, weekend yako inaendaje
enzi hizo [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Oooh! Mnanikumbusha tangazo la tigo enzi hizo za kulonga bure usiku ".... kata,kata wewe....."
Ahahahaaaaaa imenikumbusha mbali sana aiseehOooh! Mnanikumbusha tangazo la tigo enzi hizo za kulonga bure usiku ".... kata,kata wewe....."
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sio mbali kama mimi aisee lol!Ahahahaaaaaa imenikumbusha mbali sana aiseeh
Nitakuziba mdomo haina shida[emoji23] [emoji23] [emoji23] twende wote mwaya....(nilivyo shilawadu watu wote watajua mlichokiongelea huko)