JamiiForums Usiku wa manane

Ila dunian kuna wabunifu,jf usiku wa manane,kwahyo hapa ni kama ile mitaa isiyolala,pilika pilika zinaendelea kama mchana na gambe linapgwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Khe! Hunitakii mema wewe nafanya kuchungulia dirishani maana hadi umeme wamekata
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mpaka nimekuonea huruma,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…