JamiiForums Usiku wa manane

Nipo kipenzi, nimekuham sana my dear[emoji7]
mimi zaidi aisee, Jf zamani unakunywa uji unaridhika kabisa maana ukija huku raha mustarehe
siku hizi sijui uchumi umekaa vibaya tunashindwa kuja kupata raha zetu huku
ila Mungu ni mwema tumevushwa salama na hili wimbi la corona
 
Sio corona tu, Shem hata kimbunga JOBO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…