Jobo kilichukua tahadhari mapema, kilimuuliza ndugu yake Corona vp TZ walikupokeaje...kilivyopata taarifa kilikuwa kipole tuSio corona tu, Shem hata kimbunga JOBO
Hahaha kumbe Shem una kipaji hivi, so mchezo.Jobo kilichukua tahadhari mapema, kilimuuliza ndugu yake Corona vp TZ walikupokeaje...kilivyopata taarifa kilikuwa kipole tu
hahahahahahha
shem u mzima lakini? furaha yangu nikusikie ukiwa na furaha
shem jaman, kipaji gani umeona hapo nikiendeleze tupatemo hela ya majiHahaha kumbe Shem una kipaji hivi, so mchezo.
Mimi mzima wa Afya hofu kwako
Aah kipo hapo mjini sikuhizi hutakiwi kuwa na kazi moja, kuna watu wanapata hela kimasihara tu.shem jaman, kipaji gani umeona hapo nikiendeleze tupatemo hela ya maji
mimi mzima sana shem wangu
hakika Mungu ni mwaminifu, tunaendelea kupambana akiwa ametushika mkonoAah kipo hapo mjini sikuhizi hutakiwi kuwa na kazi moja, kuna watu wanapata hela kimasihara tu.
Za majukumu ya Mwanzo mwa wiki.
Naam! Hata Mimi huko chuga wanasema ukilala imekula kwakohakika Mungu ni mwaminifu, tunaendelea kupambana akiwa ametushika mkono
hope same kwako bwana Shem
ngoja niufanyie kazi nikienda mndenyi, wakati wa sikukuu watu watakuja na hela zao nitapiga kaziNaam! Hata Mimi huko chuga wanasema ukilala imekula kwako
Ila zingatia ushauri huo shem.
Ulikua unataka tu kutochokoza na wenzako tumefunga,aysh nimeamshwa na morning glory! 04:14
Hahahah haya bana siku njema!!ngoja niufanyie kazi nikienda mndenyi, wakati wa sikukuu watu watakuja na hela zao nitapiga kazi
thanks shem kuvumbua kipaji
teh teh
Mtu wangu wa nguvungoja niufanyie kazi nikienda mndenyi, wakati wa sikukuu watu watakuja na hela zao nitapiga kazi
thanks shem kuvumbua kipaji
teh teh
nipo hapa japo navunja sheria za huu uziMtu wangu wa nguvu
[emoji23]Kwa leo acha tuzivunje tu maana tumemissiana vya kutoshanipo hapa japo navunja sheria za huu uzi
Kumbe upo salama banah nilijua jobo imekupitia[emoji23]Kwa leo acha tuzivunje tu maana tumemissiana vya kutosha
Sheria zipo ili zivunjwe[emoji3589][emoji3589]nipo hapa japo navunja sheria za huu uzi
Acha kabisa, kipindi kile hiki kilikuwa bonge la kijiwe, story kwa sana utani wa hapa na pale yaani full burudani, siku hizi panabore unaweza ukajikuta unakesha peke yako hapamimi zaidi aisee, Jf zamani unakunywa uji unaridhika kabisa maana ukija huku raha mustarehe
siku hizi sijui uchumi umekaa vibaya tunashindwa kuja kupata raha zetu huku
ila Mungu ni mwema tumevushwa salama na hili wimbi la corona
Nipo poa kabisa, alishindwa koona tz, jobo angeiweza wapiKumbe upo salama banah nilijua jobo imekupitia
Na ukizingatia kuwa watunga sheria ndio wavunja sheriaSheria zipo ili zivunjwe[emoji3589][emoji3589]
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]Na ukizingatia kuwa watunga sheria ndio wavunja sheria
Safi hiyo [emoji23][emoji23]Nipo poa kabisa, alishindwa koona tz, jobo angeiweza wapi
Mimi nilijua ni watu tu wanaokulana kimasihara kumbe hata pesa zinapatikana kimasihara siku hizi? Inabidi niongee na wewe kiutu uzima ili unipe connection mjini hapaAah kipo hapo mjini sikuhizi hutakiwi kuwa na kazi moja, kuna watu wanapata hela kimasihara tu.
Za majukumu ya Mwanzo mwa wiki.