JamiiForums Usiku wa manane

Utajiri wake tu!
hahaha
Utajir wake ukiutaka anaza ku deal na makinikia maana ali upata kwa gold.
ila kuna character yake moja tayari unayo he was a great conquerer, hata mimi una ni conquer evryday hapa
 
Maana hekima zake na mbinu zake za kupata utajiri ni za hali ya juu sana! Muhamar Ghadafi style!
ukitaka upate hekima yake
learn, learn and learn more and more alikuwa anapenda kujifunza though yeye ali egemea sana kwenye dini.

yes ni kama Qadhafi vile
 
ukitaka upate hekima yake
learn, learn and learn more and more alikuwa anapenda kujifunza though yeye ali egemea sana kwenye dini.

yes ni kama Qadhafi vile
Unajua dini yeyote inakupa beyond human thinking powers, kwa hiyo inakurudishia your unborn natural instinct na inakupa power of attraction! Kitu ambacho sisi watu weusi we are good at!
 
Unajua dini yeyote inakupa beyond human thinking powers, kwa hiyo inakurudishia your unborn natural instinct na inakupa power of attraction! Kitu ambacho sisi watu weusi we are good at!
kwa kweli mi kwangu naona kwa dunia ya leo the more you base on religion the more unakuwa ni mtu hatari kwa humanity.

we just have to learn general knowldge
 
kwa kweli mi kwangu naona kwa dunia ya leo the more you base on religion the more unakuwa ni mtu hatari kwa humanity.

we just have to learn general knowldge
Religion zimeletwa na wazungu! Ukikjua hiyo ndiyo freedom yenyewe, maana upendo ndiyo kila kitu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…