[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Katumwa huyu sio bure [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Oooh! Kesi tena!? Muulize baby wako....hapa watu wakiwa na kesi tu wanapotelea kusikojulikana [emoji23] [emoji23] sasa na mimi kuanzia kesho hutaniona mpaka uisahau kesi yanguShem kwa leo..ngoja nikukaushie..ila una kesi na mimi
[emoji8] [emoji8] [emoji8]Hata mimi naona sio mwandiko wako huo mbona
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Utani najua,lakini ambavyo ulilikomalia nikaogopa. [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]nikaona asije akakopa shuka na baridi hizi mbona nitakuwa nimekuwa katili sana...
Nitakuwa mtu wa mwisho kukuamini katika hili [emoji23] [emoji23] [emoji23]mmmh leo nimezidiwa na usingizi
utashikika tu..bahati nzuri sisahau kirahisiOooh! Kesi tena!? Muulize baby wako....hapa watu wakiwa na kesi tu wanapotelea kusikojulikana [emoji23] [emoji23] sasa na mimi kuanzia kesho hutaniona mpaka uisahau kesi yangu
True dat...byeeeNitakuwa mtu wa mwisho kukuamini katika hili [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dah [emoji42] [emoji42] [emoji42]Huh! kumbe ulkuwa huna habari Man...kitambo mbona...?? Elewa hivyo lakini[emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Oooh! Kesi tena!? Muulize baby wako....hapa watu wakiwa na kesi tu wanapotelea kusikojulikana [emoji23] [emoji23] sasa na mimi kuanzia kesho hutaniona mpaka uisahau kesi yangu
Jamani jamani hii mibebishano yenu inanitamanisha kuwachonganisha....[emoji12] [emoji12] [emoji12] Tafadhali punguzeni ili mniepushe na dhambi hii![emoji23] [emoji23] [emoji23]Gudnight baby
[emoji8] [emoji8] [emoji8]
Nimekosa neno kwakweli nna shaka ni wa kitambo ila mhusika alikua halijui hili chimbo ndo paaap twashtukizwa sie ila tusikate tamaa kiti kilefu atakaa tu ipo sikuManga ML hivi haya mapenzi yameanza lini? Mbona sasa ule mpango wetu nae utafail humu?? Karibuni kiti kirefu
Tukupe funguo eeh?Hamna shaka mkuu pamoja sana
Naomba umweleze baby wako kwa sauti ya kumnong'oneza vinginevyo mtaniona hapa mwakani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mambo ya kesi mtaa huu ni magumu sana.
Ni bora ifutwe tuu hakuna namna.
Eti ule mpango upo au ndo lishasanuka?Ni utani tuu kila mtu anatambua hilo, kuwa na amani banah.
Haya naona unaondoka na baby wako! Mlale unono....(simaanishi mkalale wote lakini)True dat...byeee
[emoji39] [emoji39] [emoji39]Mpango upo pale pale, ngoja nirudi kutoka likizo lazma lile swala tulifanikishe rafiki yangu usiwe na hofu.
Nishaghaili usimpeHuyu kweli anatufaa kukaa na funguo maana yeye 24/7 yuko macho [emoji12] [emoji12]