Oooh! Mbona mapema hivyo? Au kwa kuwa leo ni blue monday?Jomoni[emoji124][emoji124][emoji124]nimeanza kuzeeka. Usiku mwema wote,nawapenda team popo.
Kesho hatuta fungua lakinimmmh leo nimezidiwa na usingizi
Hakika tunamshukuru Muumba ametuwezesha kuona siku hii mpyaHabari. Naona kumekucha siku mpya imeanza
Nimeona kazi ni kwako kufagilia
Oooh! Too late nimeshampa [emoji12] [emoji12]Nishaghaili usimpe
Aisee kesi haita kwepo hatukukosi kidhembe hiviOooh! Kesi tena!? Muulize baby wako....hapa watu wakiwa na kesi tu wanapotelea kusikojulikana [emoji23] [emoji23] sasa na mimi kuanzia kesho hutaniona mpaka uisahau kesi yangu
Ni vyema na haki kumshukuru. Na nina imani itakuwa siku njema na baraka tele kwa wadau woteHakika tunamshukuru Muumba ametuwezesha kuina siku hii mpya
Nisamehe tu shem....sitathubutu tena kuwachonganisha [emoji4] [emoji4] [emoji4]utashikika tu..bahati nzuri sisahau kirahisi
Ulale unono na usingizi mororooJomoni[emoji124][emoji124][emoji124]nimeanza kuzeeka. Usiku mwema wote,nawapenda team popo.
Asante dear! Ulale unono [emoji7] [emoji7]Jamani naomba niwakimbie [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kila la kheri nyote.
Niwatakieni mkesha mwema. Love you all [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Nishaifuta tayar[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mambo ya kesi mtaa huu ni magumu sana.
Ni bora ifutwe tuu hakuna namna.
Acha utoto hutaniwi?Oooh! Too late nimeshampa [emoji12] [emoji12]
Bila shaka sauti yako hii ataisikia mhusikaAisee kesi haita kwepo hatukukosi kidhembe hivi
Tuko pekeetu ujue?Oooh! Mbona mapema hivyo? Au kwa kuwa leo ni blue monday?
AminaNi vyema na haki kumshukuru. Na nina imani itakuwa siku njema na baraka tele kwa wadau wote
Umechelewa....tayari!Acha utoto hutaniwi?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] Heee! Basi tufunge tuondoke au mangi mtata atakuja kufunga?Tuko pekeetu ujue?
yap yap manDah [emoji42] [emoji42] [emoji42]
muelezee muelezee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mambo ya kesi mtaa huu ni magumu sana.
Ni bora ifutwe tuu hakuna namna.