Ok poa ngoja nibaki na madam flan amekujaHahahaha hapana mkuu mbona ya kawaida.
Mkuu nilikuwa napita nawaachia kijiti cha upopo
Neybright na hio soft skin yako mmeendana kweli[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji137]
Babe[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji137]
Nikategemea utakuwa mshikiri mzuri kwenye ushirikishi,but nakuona jf now jomoni[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Jaman nipo zamu lindo..
Ulinzi shirikishi..
[emoji713] [emoji742] SERATIHuyu hapo
Amina! ....[emoji23] [emoji23] [emoji23] Ole wao washtaki maana nao watashtakiwa, hiki kitabu bwana, kiko kama msumeno.....kinakata huku na hukoMimi sina tatizo na wewe...heri yao waombao msamaha maana watasamehewa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] huhuh hatimae.....0:25
Hello[emoji713] [emoji742] SERATI
Vipi mamy! Kumekucha....
Ulipoteea wapi wewe mlinzi wa zamu jamani??0:25
Kumekucha mida yetu[emoji16][emoji16][emoji16]Vipi mamy! Kumekucha....
Kabisa....wacha tusogeze sogeze huu usiku maana siku hizi naona unakuwa mrefu mnoKumekucha mida yetu[emoji16][emoji16][emoji16]
Ole wao waliokua wanatamani wenzao wasombwe na mafuriko[emoji12] [emoji125][emoji23] [emoji23] [emoji23] huhuh hatimae.....
SUre now daya usiku mrefuKabisa....wacha tusogeze sogeze huu usiku maana siku hizi naona unakuwa mrefu mno
KaribuWajombaaaa usingizi umekata