kweli kabisa aseeh kuwa na amaniAmina! ....[emoji23] [emoji23] [emoji23] Ole wao washtaki maana nao watashtakiwa, hiki kitabu bwana, kiko kama msumeno.....kinakata huku na huko
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umenichekesha kwa sauti aisee!Ole wao waliokua wanatamani wenzao wasombwe na mafuriko[emoji12] [emoji125]
Safi kiongozi ...leta soga...tukimbize mpaka saa 10Karibu
Blaza josekweli kabisa aseeh kuwa na amani
Nashukuru kwa kunifutia mashtaka...!kweli kabisa aseeh kuwa na amani
vipi mkuuBlaza jose
Tuko pamoja shemNashukuru kwa kunifutia mashtaka...!
Nikategemea utakuwa mshikiri mzuri kwenye ushirikishi,but nakuona jf now jomoni[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wengine wanaota jua la asubuhi saa hizi mkuu, hivyo we pambana tu na hali halisi ya kukeshaHivi wote hapa tuko tz au wengine kwao ni kule ambako saiz linawaka kama pasi? Nisije kujitia fund wa kukesha kumbe nyie mnashinda kuchati
Acha tu, bibie nilikua nimeenda darisalama kumsalimia Mjomba wangu, mchecheto wa kwenda mjini ukasababisa nisahau kitabu changu cha kutunzia nywila za huu ukuta. Kiukweli niliwakumbuka sana.Ulipoteea wapi wewe mlinzi wa zamu jamani??
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji23] [emoji23] [emoji23] wengine wanaota jua la asubuhi saa hizi mkuu, hivyo we pambana tu na hali halisi ya kukesha
Simuoni best yangu hapa.......Tuko pamoja shem
Mmmmh! Si useme tu mvua ilikufanya ujukumike usiku na mchana? [emoji12] [emoji12]Acha tu, bibie nilikua nimeenda darisalama kumsalimia Mjomba wangu, mchecheto wa kwenda mjini ukasababisa nisahau kitabu changu cha kutunzia nywila za huu ukuta. Kiukweli niliwakumbuka sana.
Upo job sikuhizi nini maana na#2vipi mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] imebidi nicheke aisee. Duh.Hivi wote hapa tuko tz au wengine kwao ni kule ambako saiz linawaka kama pasi? Nisije kujitia fund wa kukesha kumbe nyie mnashinda kuchati
[emoji24] [emoji24] [emoji24][emoji23] [emoji23] [emoji23] umenichekesha kwa sauti aisee!
Ndo nini kutukimbia kimya kimya? Hivi unajua kama niko icu kwa kummiso niliokuwa nao kwako?
mwana mpotevu. !!Popoziiii
Hatari kweli kweli. Wangesema na wadada tukalinde ningekuwa natoka na mto wangu kabisaHahaaa hapa natembea na kirungu kwapani sim mikononi..Hatari thana Jf