Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
Hujakosea, mfano mimi ni Blue Afrika hata lugha mnayoitumia hapa siielewi kabisa[emoji40]Bas bhna ila siamini kuwa wote wabongo umu
Haupo kivipi? Wewe si ndo ulinambia kuwa jirani yako wa pluto mashariki amepata blanket chapa mtu hivyo hawezi kutoka na mvua zile?Haya bwana wewe tueleze ulipokuwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie sipoooo
Ok babysawa my love nimekupata[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
HahaaaaaaHujakosea, mfano mimi ni Blue Afrika hata lugha mnayoitumia hapa siielewi kabisa[emoji40]
Hapana kwa kweli ni wivu sio kwamba mimi nataka [emoji4] [emoji4]au unataka nikubebishe wewe,??
Kwanini tena mpenzi?[emoji23] [emoji23] [emoji23] unaniua mbavu jamani!
Hahaha nitaeleza nilipokua ila kwanza ungeniambia lini paap umekua "BABY"?[emoji85]Haya bwana wewe tueleze ulipokuwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wapi weweeee..mtoto laini crips huvunji wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Waoooh thank you dearest.Loo dada Ney mm pia nilikumithii sana..Hebu po
Pokea buthuu la kibogoyo ulipo..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hapo ndo ninapokupendea unajuaga vitu roho yangu inapenda....wacha nitoroke hapa icu nije kuanza na hizo bombadia....[emoji12] [emoji12][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Balimi umepata bibie, vischana siku hizi vimekatazwa kutumiwa na ke, labda nikuongeze na kreti la ile bajaji ya Taifa[emoji40]
Asante...... nilikosa mtu wa kunisapoti kuuliza hili swali [emoji4] [emoji4]Hahaha nitaeleza nilipokua ila kwanza ungeniambia lini paap umekua "BABY"?[emoji85]
I'm in love with the shape of youOk baby
Ooooh! Pole sana, kumbe u mgonjwa?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Imebidi nicheke tu japo naumwa[emoji3]
Ooogh. Baba kayaiii unaumwa.!! Polee,nini mbaya?? Jomoniii[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Imebidi nicheke tu japo naumwa[emoji3]
Girl, you know I want your loveKwanini tena mpenzi?
Hapana Dear, maana ukisema ulike kabla ya muda unaufanya uzi unakuwa busy, lazima uingie kuchungulia hivyo vi notification.Kulike anytime but ku comment si ndio usiku atii. Mama jose
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kweli mmedhamiria kunitoa roho kwa mibebishano yenu aisee! [emoji18] [emoji18]
Le M'bebiz hauna?Hapana kwa kweli ni wivu sio kwamba mimi nataka [emoji4] [emoji4]