Nadhani niko break maana hata sijielewi!Na wee pia hujala? Au uko break??
sogea bd nipo,nilikua namuweka sawa mateka wanguSawa ila kama uko na K-vant kubwa nibakishie kidogo, nahisi Koo limenikaukia
Nkamu unalalaga saa ngapi?3:26
Nautafuta usingizi sasa nkamu🤣🤣🤣Nkamu unalalaga saa ngapi?
Ngoja nije nikuitie Mama Mchunga aje akulazimishe kulala aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
MorningGood Morning from Dar es salaam, Tanzania. 03:40 Hrs
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Nautafuta usingizi sasa nkamu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mama mchungaji sasa amepumzika muache usimsumbue chief