JamiiForums Usiku wa manane

Miaka 7..... Nilianza ikifika usiku muda nmemaliza kusoma napanda kitandani kulala najigeuza hadi asubui.. navaa naenda shule.... Rfk angu akanambia niwe nakunywa konyagi robo kikombe... Nikajaribu siku ya kwanza nliumwa kichwa sitasahau
🤣🤣🤣 konyagi form two? inabidi kwanza utafute chanzo ni nini,kabla hujatafuta solution....Unahisi shida ni nini so far?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…