JamiiForums Usiku wa manane

Niliwahi kuingia kitandani ila ninashangaa mpaka saiz bado ninahangaika tuu
 
04:52 lindo liko salama ila limejaa mbu[emoji23][emoji23]
 
Ukikaa karibu na waislamu wengi muazini anakuamsha.
Ukikaa na wasio na dini wengi mbwa Koko hawakupi nafasi ya kulala.
Hivi nyie waswahili maskini mnafuga mbwa wa nini? Hamuwalishi, hawawalindi , usiku hatulali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…