Kama vp tafuta The Raid 2, uburudikePoa! Nna 10 gb za halotel night park nashusha mizigo hapa.
Poa!Kama vp tafuta The Raid 2, uburudike
00:0900:03 am
Nacheck gam ya liverpool apaPopoz
Tumelala mvua inafanya yake....Popoz
Msisahau kutupia matokeo hapaNacheck gam ya liverpool apa
Madrid kapigwa 3 kwa 1 na tottenhamMsisahau kutupia matokeo hapa
Tupo baby wa shemeji yangu.....nina ombi kwako my dear [emoji4] [emoji4]Mpoooooo
Nimeipenda hiyo ya Madrid....dakika ya ngapi ?Madrid kapigwa 3 kwa 1 na tottenham
Liverpool anaongoza 2 bila
87 inaenda sasaNimeipenda hiyo ya Madrid....dakika ya ngapi ?
Matokeo yakiwa hivyo nitalaka usingizi mnono leo. Japo natamani Liver pia angebamizwa87 inaenda sasa
Salama kabisa! Karibu...salama humu kijiweni