Jawezi kuniangusha[emoji23] [emoji23] [emoji23] Majibu yake hayanaga akili kabisa......ngoja tumsubirie!
Sawa nakusubiriAsante! Tangulia naja!
Aisee, hebu muache bhana atupe kampani we mshtue asali wa moyo wako jje's[emoji125]Thad twende tukale bibie
Hata usipoitumia siku hiyo wenzio wataitumia tu!Siku nitakuja kukuchukua twende wote japo mimi huwa situmii ile lugha[emoji23] [emoji23]
Nimestaajabu yani ngoja akapewe sumu maana hana kheriHahaha kwani uongo mkuu, ataendaje kuazima dawa ya jiko kwa jirani wakati kuna gunia linaozea ndani[emoji125]
Dua la kukuOhoooo! Ndo maana unachekelea mpaka jino la mwisho ....nilitamani sana mfungwe![emoji35] [emoji35]
Kumbe mko pamoja ndani na nje ya tz, hongereni.Woyooooo chama moja mkuu bongo nshachoka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aisee, hebu muache bhana atupe kampani we mshtue asali wa moyo wako jje's[emoji125]
Wasije kuniwahi kesho nakuja[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata usipoitumia siku hiyo wenzio wataitumia tu!
Kwani mpira ni hitaji muhimu kama nilichokiomba?[emoji85] [emoji85]Wacha weeh, kuazima shemeji huogopi, ila unaogopa maneno magumu[emoji40] [emoji125]
Hahaha Bundi Thad bhana, hilo jina alipewa tu hapa jukwaani, wala halimuhusu kabisa[emoji40][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unanifanya niamshe majirani kwa kicheko.....
Ina maana hujui kama huyo ni baba naniluuu?
Ndio maana nikaangalia wa kumuomba kwanza....Neybright hana shida kabisa, labda angekuwa jje's Nleterewa Nganengo angemshawishi mshiki wake wanimalize [emoji12] [emoji12]Nimestaajabu yani ngoja akapewe sumu maana hana kheri
[emoji57] [emoji57] [emoji57]Ohoooo! Ndo maana unachekelea mpaka jino la mwisho ....nilitamani sana mfungwe![emoji35] [emoji35]
Najua ila yeye na mimi hatupikiki ndani ya chungu kimoja tukaiva ndio maana amegoma kabisa kunifundisha kubet.[emoji12] [emoji12]Hahaha Bundi Thad bhana, hilo jina alipewa tu hapa jukwaani, wala halimuhusu kabisa[emoji40]
Hahaha kumbe mkuu na wewe ni Jogoo wa Jiji, kuna kimtetea humu ati kilikua kinatamani tuvunjike mguu tubaki bandani, tusiende kwa jirani kuwinda[emoji40] [emoji125]Woyooooo chama moja mkuu bongo nshachoka
Na hata kama bado nafasi nyingi zipo wazi naweza kua hata baba wa kijiji na isizuie kuitwa baba sihem nyingineHahaha Bundi Thad bhana, hilo jina alipewa tu hapa jukwaani, wala halimuhusu kabisa[emoji40]
Kwa jinsi nilivyofura kwa hasira za ushindi wenu hata ukileta bombadia 100 hazitanisaidia kusogeza muda.[emoji4] [emoji4][emoji57] [emoji57] [emoji57]
Endelea kusubiri hapohapo nakuletea na bombadia 3 za kusogeza muda[emoji37] [emoji36]
Wacha wee!Na hata kama bado nafasi nyingi zipo wazi naweza kua hata baba wa kijiji na isizuie kuitwa baba sihem nyingine
Ngoja akurudishe uliko pita ndo ushangae sasaNdio maana nikaangalia wa kumuomba kwanza....Neybright hana shida kabisa, labda angekuwa jje's Nleterewa Nganengo angemshawishi mshiki wake wanimalize [emoji12] [emoji12]