Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
[emoji15] [emoji15] [emoji40] [emoji40] [emoji125]Ndio maana nikaangalia wa kumuomba kwanza....Neybright hana shida kabisa, labda angekuwa jje's Nleterewa Nganengo angemshawishi mshiki wake wanimalize [emoji12] [emoji12]
Leo kuna mwenzenu kanikumbusha machungu ya timu yangu nikaumia sana, ndio maana nilitamani sana mfungwe ili kesho twende wote sawa...[emoji2] [emoji2]Hahaha kumbe mkuu na wewe ni Jogoo wa Jiji, kuna kimtetea humu ati kilikua kinatamani tuvunjike mguu tubaki bandani, tusiende kwa jirani kuwinda[emoji40] [emoji125]
Atabaki kuomba bila mafanikioHahaha kumbe mkuu na wewe ni Jogoo wa Jiji, kuna kimtetea humu ati kilikua kinatamani tuvunjike mguu tubaki bandani, tusiende kwa jirani kuwinda[emoji40] [emoji125]
Nimemiss ile lugha mnayoongeaga na mshiki wako [emoji39] [emoji39]Aisee, hebu muache bhana atupe kampani we mshtue asali wa moyo wako jje's[emoji125]
Kagoma wapi, hakunaga mkate mgumu mbele ya chai, tatizo lako unatumia kauli ya kanda maalumu kuomba darasa, hebu jaribu kutumia kauli za waja leo warudi maiti uone atakavyolainika kama mlenda wa bamia[emoji6]Najua ila yeye na mimi hatupikiki ndani ya chungu kimoja tukaiva ndio maana amegoma kabisa kunifundisha kubet.[emoji12] [emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji123] [emoji106]Na hata kama bado nafasi nyingi zipo wazi naweza kua hata baba wa kijiji na isizuie kuitwa baba sihem nyingine
[emoji23] [emoji23] [emoji3]Kwa jinsi nilivyofura kwa hasira za ushindi wenu hata ukileta bombadia 100 hazitanisaidia kusogeza muda.[emoji4] [emoji4]
Tangu lini jasiri akaacha asili? Hizo ndo kauli zilizonilea hivyo siwezi kuziacha mura!Kagoma wapi, hakunaga mkate mgumu mbele ya chai, tatizo lako unatumia kauli ya kanda maalumu kuomba darasa, hebu jaribu kutumia kauli za waja leo warudi maiti uone atakavyolainika kama mlenda wa bamia[emoji6]
Hahaha wewe utakua ni mshabiki wa ile timu yenye BakayokoLeo kuna mwenzenu kanikumbusha machungu ya timu yangu nikaumia sana, ndio maana nilitamani sana mfungwe ili kesho twende wote sawa...[emoji2] [emoji2]
[emoji57] [emoji57] [emoji57]Hahaha wewe utakua ni mshabiki wa ile timu yenye Bakayoko
Pambana na machungu yako kwakweli usiguse furaha zetu tafadhali[emoji39]
Hahaha we si ulinikimbia kisa bakora? Ila bado chance ipo ni wewe tu kujiongeza[emoji40]Nimemiss ile lugha mnayoongeaga na mshiki wako [emoji39] [emoji39]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Tangu lini jasiri akaacha asili? Hizo ndo kauli zilizonilea hivyo siwezi kuziacha mura!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] eti waja leo warudi maiti! Siku hizi wanasema waja leo kurudi majaaliwa!
Ole wao, walalao peke yao kwenye 6*6 kwa maana upweke na hasira bila kusahau popobawa havitawaacha salama[emoji40] [emoji125]Jamani, "Ole wao wgeuzao usiku kuwa mchana" Huku niliko usiku umeanza wacha niiepuke hii 'ole'
Sawa mkuu.Haya laleni sasa
Wewe jamaa ni ajee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji123] [emoji106]
Mmmh leo imekuaje pande hiziii we kibabuHaya laleni sasa