[emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] First bundi standing!
Niko poa best, nakimbizana na huu usiku wa manane hapa!Mzima..je ww dear?
Midaa imefika first man standingNgoja leo nkamugongeee
Huyu spade4spade ni mzinguaji tu, saa moja asubuhi ndo anajifanya last man standing! [emoji23] [emoji23]Midaa imefika for first man standing
Kama kawaida yako naona umekua suguNiko poa best, nakimbizana na huu usiku wa manane hapa!
Hahaaa kumbe anakujaga saa mojaaHuyu spade4spade ni mzinguaji tu, saa moja asubuhi ndo anajifanya last man standing! [emoji23] [emoji23]
We acha tu, itabidi nitafute dawa yakunisizilisha maana hii ni zaidi ya kawaidaKama kawaida yako naona umekua sugu
Ndo mida yake, siku akijitahidi sana anastand saa 12:30 asb.Hahaaa kumbe anakujaga saa mojaa
Tumereplace mkuu usijaliWatu wa humu ndani nimewashindwa tabia yaani mkiwa na kesi mnapotea, mkiombwa kitu mnapotoa kwanini mwalia gizani kwa kumwogopa jirani?
Neybright kukuomba uniazimishe baby wako ndo umekimbia kabisa jukwaa?
Kichwa Kichafu kukuomba twende wote mpirani ndo umepotea mazima?
Manga ML kukuomba unifundishe kubet umeacha na kukesha?
Nleterewa Nganengo Kukuomba dawa ya kupunguza wivu ndo umebadilisha na njia hupiti tena huku?
Samaritan kukuuliza swali ndo ukapotea mazima?
Joseverest kukwambia nitakuja uninunulie bombadia ndo hata nafasi yako ya 2 umeiacha kweli?
jje's kukukwambia naomba usiku mmoja tu na KK ndo ukaaga kabisa hapa jukwaani?
Maserati kukuomba blanket nijifunike kupunguza hili baridi ndo huonekani tena?
Jamani sio vizuri hivyo, mimi nilikuwa nawatania tu....kwanza MOYO WANGU SULTAN CHA MTU SITAMANI [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Karibu sana!Tumereplace mkuu usijali
Nisipomuona baby wangu [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] mana umu yy ndo kila kitu mpaka mb[emoji2] [emoji2]Karibu sana!
Afadhali umekuja maana naona wananiletea pozi kweli hao watu [emoji12] [emoji12]
Yupi huyo nikuitie ili usikimbie? [emoji4] [emoji4]Nisipomuona baby wangu [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] mana umu yy ndo kila kitu mpaka mb[emoji2] [emoji2]
Umenifanya nisaini ini kwa kichekoWatu wa humu ndani nimewashindwa tabia yaani mkiwa na kesi mnapotea, mkiombwa kitu mnapotoa kwanini mwalia gizani kwa kumwogopa jirani?
Neybright kukuomba uniazimishe baby wako ndo umekimbia kabisa jukwaa?
Kichwa Kichafu kukuomba twende wote mpirani ndo umepotea mazima?
Manga ML kukuomba unifundishe kubet umeacha na kukesha?
Nleterewa Nganengo Kukuomba dawa ya kupunguza wivu ndo umebadilisha na njia hupiti tena huku?
Samaritan kukuuliza swali ndo ukapotea mazima?
Joseverest kukwambia nitakuja uninunulie bombadia ndo hata nafasi yako ya 2 umeiacha kweli?
jje's kukukwambia naomba usiku mmoja tu na KK ndo ukaaga kabisa hapa jukwaani?
Maserati kukuomba blanket nijifunike kupunguza hili baridi ndo huonekani tena?
Jamani sio vizuri hivyo, mimi nilikuwa nawatania tu....kwanza MOYO WANGU SULTAN CHA MTU SITAMANI [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Afadhali umekuja, nilikuhamu mno mamito![emoji8] [emoji8]Umenifanya nisaini ini kwa kicheko
I can't u madamu[emoji12]