Bila shaka naweye umzima na hatimae umerudiNaamin wote humu hamjambo na mnalisukuma gurudumu kama kawaida
Embu jifunze ubahatikeNgoja na mimi nijifunze kucheka maana....nanihisi napishana na bahati hivi hivi
Ishafika asie na mwanaaaweekend hiyooo...!!
Kaishia kucheka tu, utamuweza huyu jirani wa dunia?Atujibu tu maana duuuh
Ukirudi ule wa manane see me kesho mana uku kwetu ni usiku kweli sio kama huko kwenu jua lachomozaOkey baby see you baadae kidogo [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Hicho ndio kigezo kikuu [emoji6]Nahisi hawa mashemeji zangu wanafuata hilo cheko lako pia [emoji12] [emoji12]
Kabisa maana mimi kununa kwangu ni kawaida, nachekaga kwa bahati mbaya tu. [emoji23] [emoji23]Embu jifunze ubahatike
Ahahahaaaaaa tatizo Thad hataki kunielewa, nilishaelezea basi tuu ila leo kaelewaNiliwamisimo, naona una tuhuma za kutambulisha mashemeji zaidi ya mmoja kwa Thad, ila naamin kabla hakujakucha utalimaliza hili swala[emoji12]
Aeleke jiwe! Vip mwenzangu weye una mwana?Ishafika asie na mwanaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaishia kucheka tu, utamuweza huyu jirani wa dunia?
Ntajua mimi kama upo tayari karibuUfundi mwingine? Kama upi? [emoji12] [emoji12]
Niko salama, nilimisi vingi ila mtaendelea kunipa update za yaliyojiri kwa week 2Bila shaka naweye umzima na hatimae umerudi
Hakuna neno lovelyUkirudi ule wa manane see me kesho mana uku kwetu ni usiku kweli sio kama huko kwenu jua lachomoza
Kumbe ni week 2 najua mwezi ushaisha aisee karibu tulisongesheNiko salama, nilimisi vingi ila mtaendelea kunipa update za yaliyojiri kwa week 2
nipo madame...!! [emoji113]Kichwa kichafu
Neybright
dingmtoto
Ipogolo
cofta
Manga Ml
Jje's
Maseratii
Nleterewa
Quigley
Kuna watu wamepoteaga humu jomoniii
Duuuh juz tu jomonKumbe ni week 2 najua mwezi ushaisha aisee karibu tulisongeshe
[emoji4] [emoji4] [emoji4] Bado aisee...
Naona kama mwezi vipi lakini dharula imeshaisha?Duuuh juz tu jomon
Halafu kaelewa kirahis kweliAhahahaaaaaa tatizo Thad hataki kunielewa, nilishaelezea basi tuu ila leo kaelewa