Kutoka moyoni,serious more than word serious itselfMkuu, upo series kweli??
bosi Glenn ufike hapaKutoka moyoni,serious more than word serious itself
Ila nyie watu, muishi maisha marefu, mmenifanya nicheke sanaπππsikuiona hii
Hata jana pia alimiss, labda anachoshwa sanaLeo kalala vizuri.
Mi nimegoma safari hii kuchoshwa aiseeHata jana pia alimiss, labda anachoshwa sana
Vizuri01:23
Mbona mapema hivyo??01:23....mlale salama
Vipi kiongozi, Mbona ulipotea ghafla01:30
ππππ nakula mzeeVipi kiongozi, Mbona ulupotea ghafla
Umetumia gas lakini??ππππ nakula mzee