Yaani unatuamsha muda wa kutafuta watoto Kijana, kufanya nini?🤪National Anthem Depal Lenie Grahams Antonnia myoyambendi Wigelekelo mtu chake raraa reree Extrovert Mjep Tinsley Annus Mirabillis Mzee wa kupambania Lovelovie Demi cocastic Demi mkwepu jr Carrasco putin Dejane Pellaiah a.k.a atoto Ms cee amkenii kumekucha........................
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usingizi umekata alafu dirisha la jirani katoka kuoa abachonifanyia kukicha naenda muombea notice kwa mwenye nyumba wake yaani kama anachinja mtu kwa wembe mamaae
Uwiiiiiiiiiii... Sawa bhn
Wewe unalala saa 3 asb ndo maana unakuwa mrefu kwenda chini wenzio tunaota jua mwingine anapalia bustani yake ya weed
Ubarikiwe, usijali usiku wa leo nitakuombea mpendwaaaAmina Amina, mnao pata kibali cha kuomba mtuombee na sisi, maana ugumu wa maisha na tamaa vimetufarakanisha na Mungu hatusali tena.
Mental case is reallySo unataka kutuambia jana ulilala stendi?
Oya panya wabaka Bantu Lady, Nina imani sio Mimi.Ngoja ajipendekeze, namuona sana yaani ana mambo ya kike sana. Na hajijui anaona sifa, nina wasiwasi na maisha yake halisi. Chawa kama chawa 💪💪💪💪💪🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Kuna ka adui kamoja kananisumbua, afu huko wapi tena??Oo kipenz nn tena? Au ulienda kule kweli?
Achana nae bhanaKuna ka adui kamoja kananisumbua, afu huko wapi tena??
Unazingua, mtu anakwambia anasogeza kidole Cha kati kwa chini, we unamuambia MUNGU amfanyie wepesi duhpole sana mkuu. Mungu akufanyie wepesi
Hapa ulimaanisha nini madam🤔🤔Ndiyo Mkuu,ila muda huu nimesogeza kidole kati kwa chini huku nikitafakari namna ya kujikwamua kwenye maisha kipindi hiki kigumu kwetu watz
Nilikuwa natafakari😂🚶🚶🚶Hapa ulimaanisha nini madam🤔🤔
Sio mtu, ni kaugonjwa. Halafu mimi siwezi kusumbuana na binadamu mwenzangu mwenye manyoya mwili mzima.Achana nae bhana
😂shauri yako,umewaza mabayaUnazingua, mtu anakwambia anasogeza kidole Cha kati kwa chini, we unamuambia MUNGU amfanyie wepesi duh
😳😂😂😂Sio mtu, ni kaugonjwa. Halafu mimi siwezi kusumbuana na binadamu mwenzangu mwenye manyoya mwili mzima.
Dah ndo kidole Cha kati kwa chini, eti unatafakari Hali ilivyo ngumu😂😂Nilikuwa natafakari😂🚶🚶🚶
😂kwani nilikuwa nafanyaje etiDah ndo kidole Cha kati kwa chini, eti unatafakari Hali ilivyo ngumu😂😂
Hata Kama nilifeli math, ila siwezi kushindwa kukihesabu kidole Cha kati🖐️🤞😂shauri yako,umewaza mabaya
Labda ulikuwa unaua kunguni, mi ntajuaje😂😜😂kwani nilikuwa nafanyaje eti
😂🙌Labda ulikuwa unaua kunguni, mi ntajuaje😂😜