Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,459
- 100,799
Hahaha Leo Niko alone, naona hata mbu wamegoma kunipa kampani. Aisee mbu kumbe Wana nafasi yake kubwa Dana kwenye suala Zima la usingizi, sikuwahi kujuaKuna mtu anakoroma hapo namsikia
Mzee tema busara hapa[emoji23]
Hahaha Leo Niko alone, naona hata mbu wamegoma kunipa kampani. Aisee mbu kumbe Wana nafasi yake kubwa Dana kwenye suala Zima la usingizi, sikuwahi kujua
Nambie Tajiri yanguHeshima kwako tajiri mkubwa [mention]Elli [/mention]
Sio jug la Juice ya NanasiHahaha nakaribia kumaliza jug la maji ya kunywa
Wewe hauishi nyumba mbali kutoka hapa nilipo?Duh jogoo anawika saa 02:42????
Inawezakana MpwaWewe hauishi nyumba mbali kutoka hapa nilipo?
02:46 jogoo aliwika nimetoka kukojoaInawezakana Mpwa
Nambie Tajiri yangu
Hahaha nilirudi home saa Moja, nikaboreka, kuangalia kwenye friji nikakuta Wine π· yangu ya muda mrefu kidogo, hakika akiba haiozi, ndio nikaifakamia, Sasa imenikata usingiziSio jug la Juice ya Nanasi
02:43
Hahaha tajiri yangu tutafute usingiziSafi sana tu heshima kwako big boss wa bongo una mbambamba mkuu
Wana kisirani TU Hawa, ukute NAO Wana stress tu02:46 jogoo aliwika nimetoka kukojoa
Usingizi umeeenda πHahaha nilirudi home saa Moja, nikaboreka, kuangalia kwenye friji nikakuta Wine π· yangu ya muda mrefu kidogo, hakika akiba haiozi, ndio nikaifakamia, Sasa imenikata usingizi
Umeyeyuka! Dah. Nasikiliza gospel laini pengine stress zitapungua nipate usingiziUsingizi umeeenda π
02:49
02:52 Nipo hapo angali napita km upepoUmeyeyuka! Dah. Nasikiliza gospel laini pengine stress zitapungua nipate usingizi
Hahaha tajiri yangu tutafute usingizi