Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Boss nakushauri unywe supu, maana pombe ulizokunywa pale wavuvi kemp zinakufanya utuone sisi siafu Kama mbwaNaona boss now unapata lunch baada ya kuhudumia wateja wengi hapo kibororoni
Sina neno wangu😔Unahuzunika nini ??, Kama vipi tarehe za mishahara yenu imeshafika. Hivyo nisave hata ka aftatu tu nipike ugali na msusa.
Ko untumia ehh??Sina neno wangu😔
Nadaiwa mwenzio,Ges menunua mwenyewe wote mlikataaKo untumia ehh??
Pole mkuu, bora wewe mwenye kazi. Mimi ni jobless wa kimataifa tu.Nadaiwa mwenzio,Ges menunua mwenyewe wote mlikataa
Boss nakushauri unywe supu, maana pombe ulizokunywa pale wavuvi kemp zinakufanya utuone sisi siafu Kama mbwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah af situmii pombe kabisa uwez amini
Naona zimekufika pabaya unasahau katika ule uzi wangu ulisema mengi kuhusu bia, mpaka ukafungua thread ya kuonyesha bei za vinywaji dah
Si nasikiaga hizo Cocktail Zina bei kinyama mpaka elf 15[emoji23][emoji23][emoji23] najua bei hila situmii mimi natumua mojito na ccoktel
Si nasikiaga hizo Cocktail Zina bei kinyama mpaka elf 15
Boss huwa unakunywa glass 20 au sioIt depend na sehemu kuna sehemu hadi 7000
Boss huwa unakunywa glass 20 au sio
Per day 140000 ×30 =410000 boss uko vizuriiiiii, sema mi sinywi pombe,sivuti sigara au bangi na pia Niko singleeeeMh sina hayo maisha ni moja au mbili
Per day 140000 ×30 =410000 boss uko vizuriiiiii, sema mi sinywi pombe,sivuti sigara au bangi na pia Niko singleeee
Ilimwagika bhana, sema endelea na cook tail coz siku ukinywa hio mbege utaharishaDuh sio kila siku bhna [emoji23][emoji23][emoji23] we ujaniletea mbege yangu ningee acha kunywa ata mojito
Pole mkuuPole mkuu, bora wewe mwenye kazi. Mimi ni jobless wa kimataifa tu.
Ilimwagika bhana, sema endelea na cook tail coz siku ukinywa hio mbege utaharisha
Na iwe hivyo maana leo polisi wanazunguka mitaa yetu, hivyo sisi majobless hatutakiwi.Sawa mchana mwema
Kawaida mkuu, unajua Kuna wakati tunapaswa tujifunze kuukubali ukweli hata Kama ni mchungu.Pole mkuu
Na iwe hivyo maana leo polisi wanazunguka mitaa yetu, hivyo sisi majobless hatutakiwi.