Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Sana na kutibu minyoo πππ€Mbegu zake zinaongeza nguvu piaπππ
Umeanza tena πππI think it's time to make people remember the book of things fall apart by chinua achebe,
cause it's ain't normal the way wanaropoka Kama wameshikwa na ngebe.
Mungu aliumba bwana no comment sifa na utukufu tunamrudishia yeye
Matango huwa sipendi kuyamenya maganda.. Yani nile na ganda lake ndo traamπMatango pia huwa tunaweka kwenye macho. Ni mazuri sana.
mimi hupenda kuyala naweka chumvi, lemon na pilipili ππππ
Genge leo limenoga πππ02:02
Unajua kuna matango pori, ulishayala? Vidogo hivi vinene navipenda huwa wanauza kisutu. Wahindi ndiyo yao hayoMatango huwa sipendi kuyamenya maganda.. Yani nile na ganda lake ndo traamπ
Mchungaji tunaomba upatanisho na ndugu yetu Intelligent businessman tumekosa sisi tumekosa sana watu wa darMungu aliumba bwana no comment sifa na utukufu tunamrudishia yeye
Nashangaa anakua jobless kumbe ni mwalim mzuri WA kiingerezaUmeanza tena πππ
We mtata wewe kama fetotoHuwezi fanya hivyo kwa mtu mchafu...
Lazima muwe wasafi wote na mmetoka kuoga mkasuguana...
Ila wanasema mapenzi ni uchafu, kuna kuku wa kisasa na wa kienyeji kazi kwako [emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]
Inabid nimuombee fedha boys pale afundisheNashangaa anakua jobless kumbe ni mwalim mzuri WA kiingereza
Hvi vitango wasukuma tunaviita limbe, na mbegu zake zipo.Unajua kuna matango pori, ulishayala? Vidogo hivi vinene navipenda huwa wanauza kisutu. Wahindi ndiyo yao hayo
Ah nyie [emoji4]Mbona ni tamu sana[emoji23]
Navipenda vile ni vitamu haswaa.. πUnajua kuna matango pori, ulishayala? Vidogo hivi vinene navipenda huwa wanauza kisutu. Wahindi ndiyo yao hayo
Nayapenda kuliko ya kawaida, tango pori huwa nikiyakuta nanunua mengi sana.Hvi vitango wasukuma tunaviita limbe, na mbegu zake zipo.
Nivizur mno.
Ahaha karibu uamulie ugomvi hapaLindo jema wakuu mi nashindana na nilikotoka kuna mtu kala vyangu sasa analipia(good for good)
Baba Mchungaji Iceberg9 ombea vijana wako. πππππLindo jema wakuu mi nashindana na nilikotoka kuna mtu kala vyangu sasa analipia(good for good)