Tumemaliza tunafungia hapa mjadala,mnanyegeshana tu[emoji23]Sasa unashindwaje ramba jasho la mpenz wako akiwa msafi jamani?sasa Pua utaweza kuzimassage na kuzinyonyaa kweli? [emoji23][emoji23][emoji23]
Old generation si ndo walikua wanakanda na mnyonyo na mbegu za maboga au? 😂😂 just some modifications..Time to back the old generation, it's seems Kuna trouble kwenye hii new audition.
Ahahhaha mchungaji katukana ahahhahaTumemaliza tunafungia hapa mjadala,mnanyegeshana tu[emoji23]
Mimi nasubiri mgao wangu wa heka 10,heka 5 nauza zingine nalima bangiAhaha karibu uamulie ugomvi hapa
Mchungaji wa mchongo 😄😄😄😄Ahahhaha mchungaji katukana ahahhaha
Oh ngojea tutone meno ndio uchukue hilo shambaMimi nasubiri mgao wangu wa heka 10,heka 5 nauza zingine nalima bangi
Tena ni mchunginwa nyegezi 😂😂😂Mchungaji wa mchongo 😄😄😄😄
Karibu bongo mji ulio jawa na wajanja wengiTuliwah Lima Nanasi na kuhakikishiwa soko lipo dar la uhakika .
Tukaanza na fuso la trial from Geita to Dar kufika chalinze ajent wetu alilotuhakikishia soko tukaonana na kuyaponda mananasi yetu kua hayana ubora .
Asee Vijana wa dar matapeli sana.
Tuliuza mzgo Kwa hasara.
Na mkakimbia na michango ya kanisa wahuni sio watu wazuri mnataka kupaka watu mafuta Hiyo kitu hatw shetani anakuona una viwango vingineKijiwe leo kimechangamka kuliko siku zote, waliokosa lindo wamekosa mengi. Nimecheka mpakaaa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Poleni sana, hapa bongo ni miyeyusho. Bora kulima kilimo cha mazao utafute soko nje ya nchi. But vitu viwe na ubora wa hali ya juu kama vinavyoenda supermarket ya Shoppers...Tuliwah Lima Nanasi na kuhakikishiwa soko lipo dar la uhakika .
Tukaanza na fuso la trial from Geita to Dar kufika chalinze ajent wetu alilotuhakikishia soko tukaonana na kuyaponda mananasi yetu kua hayana ubora .
Asee Vijana wa dar matapeli sana.
Tuliuza mzgo Kwa hasara.
Nipo macho .02:15 njaa wakuu
🤣🤣🤣🤣Halijambo toto halitaki shule aiseeKabla ya yote Ndumbwi hajambo
😂😂😂 mafuta ya upako tumechukua kwa mwamposa tukasema ngojs tumpske ndugu yetu walau apate naye kazi asiwe jobless atoke kwa dada yake pale shemeji yake mda mwingine ana mtukans au tumekosea?Na mkakimbia na michango ya kanisa wahuni sio watu wazuri mnataka kupaka watu mafuta Hiyo kitu hatw shetani anakuona una viwango vingine
Karibu mkuu ila hapa tunazungusha Meza kwa zamuWeka asali tulambe wote