Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
Hahaha natamani kuyajua hayo masomo mengine, au ashapata mkufunzi mpya, anakuzuga tu[emoji125]Hapana sina ufundi wa kubet nimemuomba nimfundishe somo lingine analukaluka tu
Hivi mkuu hua Una Maximize kitu gani?00:53
Itakua kapata mwingine mana simuoni humuHahaha natamani kuyajua hayo masomo mengine, au ashapata mkufunzi mpya, anakuzuga tu[emoji125]
[emoji3][emoji3][emoji3]chochote chenye profitHivi mkuu hua Una Maximize kitu gani?
Hahaha polepole mkuu, sio wanafunzi wote wanapenda bakora za kushtukiza, wengine wanazimiaga kabisa[emoji40] [emoji125]Haswaaa nikaona nisimchape bakora bila sababu
Hahaha kweli vakesheni kuna vinono[emoji3]Maserati atakua bado yupo huko aliposema mana kapote ghafla
[emoji3] [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]chochote chenye profit
Poleni sana mkuuKaribu mkuu, sisi wengine tupo kwenye viti virefu[emoji481] [emoji482] [emoji482]
Hata kuteremka chini imekua shida kidogo
[emoji15] [emoji15]Poleni sana mkuu
Me nipo kitandani now hua si mtu wa kutoka sana usiku
Itakua asee dah naona usingizi umenisimamia leoHahaha kweli vakesheni kuna vinono[emoji3]
Inategemea na unakoaenda wewe,sio mbugani tho.Hongera kwa kwenda huko vakesheni nasikia kuna baridi sana, na wanyama wa kuvutia[emoji6]
KabisaIpumzike sasa mana itatupa ugonjwa wa moyo tu
Karibu mpendwa
Pamoja mkuu, mimi mwenyewe napiga mahesabu ya kushuka kwenye hiki kijigorofa cha chuma, nikapumzishe vimbavu vyangu[emoji42] [emoji42] [emoji125]Itakua asee dah naona usingizi umenisimamia leo
Mvua ikija tena jeNipo banaaa. I'm back vacation imeisha
Wacha weeh, kumbe angalau mimi nakipata kikorea kidogo, Manga ML ndo hakuelewa kabisa hiyo vakeshenikia[emoji40]Inategemea na unakoaenda wewe,sio mbugani tho.
Utakua kiti kirefu wewe ngoja mii nilaleKabisa