DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Njoo tuombe MkuuMuda wa maombi
Hamna mtu wa dua anaezurula humu jf usiku huu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Usiku utumue vizuri kuowaombea Dua wagonjwa
Wafungwa
Yatima
Marehemu wanaokata pumzi Muda huu
Allah awafjnyie wepesi muwe katika wale wenye kuishi katika kheri
Unawaza kujamba tu hapo
[emoji23][emoji23]kahMuda wa maombi
Kwanini sio wote hatumjui Mungu wengine tupo vzrHamna mtu wa dua anaezurula humu jf usiku huu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unawaza kujamba tu hapo
Ukimuona nistue namimi nimchek01:34 natafuta usingizi kupitia jf.
Halafu kiwe kinanunaka sasa kama yai viza,kinakusanua sasa kuwa umejamba na kinatoa harufuGafla linatoka kwa sauti mbbuuuuutraaaaa
Tusali banah yani watu wabishi sana kwenye maombi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]kah
Halafu kiwe kinanunaka sasa kama yai viza,kinakusanua sasa kuwa umejamba na kinatoa harufu
Shika biblia soma uone usingizi unavyokuja kwa kasiUkimuona nistue namimi nimchek
Tunasubiri uanzishe tuunge telaTusali banah yani watu wabishi sana kwenye maombi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]