JamiiForums Usiku wa manane

Unatisha ..akikujia wangu wangu were unakwenda upande ili kumpisha afu unakata mkia maana sasa atakuwa mbele yako.hageuki nyuma huyo.. Mbio nyingi..
Duuu. Hiyo ni bahati nasibu mkuu. Maana umbali kati yetu sidhani kama angenipita
 
Tupeane mbinu hizo mkuu
Ujanja wa mbwa wote mkuu upo kwenye shingo kama ukiweza kuwa jasiri mkamate shingoni yani usawa wa kichwa alaf kwa nyuma yake,ukishamkamata mnyanyue juu kidgo utaona ujanja wte kwisha anatapatapa
 
Ujanja wa mbwa wote mkuu upo kwenye shingo kama ukiweza kuwa jasiri mkamate shingoni yani usawa wa kichwa alaf kwa nyuma yake,ukishamkamata mnyanyue juu kidgo utaona ujanja wte kwisha anatapatapa
Unaifikiaje shingo sasa wakati wote mnaviziana. Yeye kajianda kukurukia na wewe umejianda kumfyeka
 
Ngoja nifunge mlango mijipopo ilale asubuhi majukumu,ila kwangu kushakucha kitambo jua linakaribia kati now
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…