Exactly, udambwi wanao wacheche ๐ณ๐คฃSanaaa๐ ๐ ๐ ila yote tisa...ngono pekee na style zake haiwez fanya mwanaume atulie ndani.. Mwanaume anahitaji nyongeza ya udambwidambwi hivi ili aamue kubaki njia kuu.
Si ni kama watoto tuu... ๐๐๐Exactly, udambwi wanao wacheche ๐ณ๐คฃ
Ooh vt vdgvdg kmaa hv hua vinavutia sana,Si ni kama watoto tuu... ๐๐๐
Kuna wanaume hawakumbuki mara ya mwisho kukatwa kucha na wake/wapenz wao ilikua ni lini๐๐
๐ ๐ ๐ ๐ Ety bila dambwi๐๐๐Hapo kwenye udambwi ndo shida ilipo, wengi anukupa tu bila dambwi๐ณ
Haya mamb sifantagi bila utashi au additional tricks, ๐คฃ๐คฃ๐ ๐ ๐ ๐ Ety bila dambwi๐๐๐
Ety jamaniii ivi unakuta mwanamke muda woote kuongeaaa ongeaa hana muda wa kupumzikaa, hajali mume amerudi amechokaa wala nini heee ni kelele tuuuu.. Kwanini wanaume wasipitie kwenye ma-bar kidogo kupoza kichwa alaf ndo warud nyumbani๐๐Ooh vt vdgvdg kmaa hv hua vinavutia sana,
Like wise kunyoana nywele๐คฃ๐คฃ
Peaneni mpate huo udambwi dambwi msituchoshe, 03:12Ooh vt vdgvdg kmaa hv hua vinavutia sana,
Like wise kunyoana nywele[emoji1787][emoji1787]
Bar kule utakutana na vibint machachari ahooh kdg unarelax๐ฒ Kisha mdgmdg unajongea homEty jamaniii ivi unakuta mwanamke muda woote kuongeaaa ongeaa hana muda wa kupumzikaa, hajali mume amerudi amechokaa wala nini heue ni kelele tuuuu.. Kwanini wanaume wasipitie kwebye ma-bar kidogo kupoza kichwa alaf ndo warud nyumbani๐๐
Najua ushapata maudambwi huna stress, wasubiri zako morning glory ๐คฃ๐คฃPeaneni mpate huo udambwi dambwi msituchoshe, 03:12
๐๐๐Unakutana na mtu mchafuu muda ote eti kisa ana watoto na majukumu ya nyumban๐ ๐ ๐ mumewe uko kazini anaona wanawake wamependeza na kunukia vizur et jaman hamu ya kurud nyumban itatoka wapiii๐๐Haya mamb sifantagi bila utashi au additional tricks, ๐คฃ๐คฃ
Wee morning groly ni muhimu kwa afyaaa๐๐ we gine ndo mazoezi yetuuNajua ushapata maudambwi huna stress, wasubiri zako morning glory ๐คฃ๐คฃ
Wewe inaonekana una kauvivu mahali mkuu๐๐๐Peaneni mpate huo udambwi dambwi msituchoshe, 03:12
And is so sweet, sjuagi kwann.Wee morning groly ni muhimu kwa afyaaa๐๐ we gine ndo mazoezi yetuu
Yaan au unakuta wanawake tunapendezaaa na kuvutia tukienda kazini.. Nywele nzuri, nguo, marashi yanii mtu ananukiaaa... Ila akirudi nyumban tuuu uyo kafunga kiremba, sijui kavaa kofia, keshavua nguo na kuvaa tenge kwa ajili ya majukumu.. Ukirudi tu nyumban mume anakuona wa tofauti unapendeza na ghafla tuu ukibadili anakuona mtu wa ajabu tena๐๐๐USAF muhim ukifeli hapo, utaskiaga baadhi ya utashi WA wanaume, kumbe ingewezekana kuzama ila shidi ipo kwako๐ฒ๐คฃ
Akili za kiume bhna๐,Yaan au unakuta wanawake tunapendezaaa na kuvutia tukienda kazini.. Nywele nzuri, nguo, marashi yanii mtu ananukiaaa... Ila akirudi nyumban tuuu uyo kafunga kiremba, sijui kavaa kofia, keshavua nguo na kuvaa tenge kwa ajili ya majukumu.. Ukirudi tu nyumban mume anakuona wa tofauti unapendeza na ghafla tuu ukibadili anakuona mtu wa ajabu tena๐๐๐
Sasa kama nyumbani kelelee muda wotee unadhani itakuajee? Kuna watu hawajui huu ni muda wa kutulia na familia.. Nyumba zao ndio vijiwe vya mashosti kuanzia asubuhi hadi usiku๐๐๐Akili za kiume bhna๐,
Yaani inatakiwa kupendeza Everytime, hii haiwez kumtoa ndani Mme, nani alisema mpira unatizamwa bar au ukumbini!!!