JamiiForums Usiku wa manane

Sanaa sikuhiz To yeye yupo penzini amenogewa na Bantu Lady anawai mnooo kuaga lindo.. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Oh kumbe To yeye yuko busy kujenga na kusiliba pale anapozani patakuja kubomoka baadae๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„. Sio mbaya tumpe support maana kupendwa unapopendwa raha sana๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š
Bantu Lady nahisi uchovu wa kazi na Mambo mawili matatu yanamfanya awe busy. Ila atakuja kunena mwenyewe kipenzi rafiki yangu.
 
Walileta mijoka humu Da'Vinci.. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Kwaio Bantu Lady akakimbiaa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ