HewalaaaaNa kweli, wakati mwingine kuliko utuhumiwe uongo kila saa bora ufanye kweli ili kama mbwai na iwe mbwai[emoji40]
Hahaha, ukimwona Thad mwambie arudi, jukwaani pamekua tafrani hapakaliki kwa kutekwa kwake #BringBackBundiThad#Maneno kama haya hua yanachoma pasi cha mtoto ngoja namii ntafute pakulala
Na ndo lilikua lengo lake hasa, jirani sio mtu mzuri kabisaKeshaumia aisee kumbe umekusudia eeh?
Khatar khatar yani imeumia kwenye mtima kabisaAhahahaaaaaa uwiii jje's amejua kunifurahisha haki mapenzi yanauma uchungu ukagusa kwa mtima huyu kichwa kichafu aache tabia mbaya atakuja muua jje's jamani sio kwa mahaba hayo aliyonayo kwa jirani yangu
Si unajua ujirani wao lakiniHahaha naona Leo umedhamiria kuvunja a.k.a bomoa kabisa[emoji57]
Haya tusalimie hapoGuys gudnight all [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]Guys gudnight all [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Kwakweli tatizo pakumuonea sipajuiHahaha, ukimwona Thad mwambie arudi, jukwaani pamekua tafrani hapakaliki kwa kutekwa kwake #BringBackBundiThad#
Huyu itakua ana lake jambo, naona kakasirika jirani yake haendi tena kumpiga chabo kama zamani (katekwa na jje's) ndo akaona abomoe kabisa[emoji125]Si unajua ujirani wao lakini
Hivi Kichwa Kichafu umempeleka wapi lakin?Guys gudnight all [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Akikujibu nishtueHivi Kichwa Kichafu umempeleka wapi lakin?
UsijaliAkikujibu nishtue
Swadakta, ila hiyo I'd yako hua inanipa sana shida kuitamka[emoji6]Usijali
Bby mamito pumzika huyu jirani yangu Neybright anataka kunipoteza wakati ndio nipo kwenye peak kukupenda wewe pekee. [emoji7] [emoji8]Hii comment ya Ney imeniletea usingizi wa gafula; kwanza kwikwi imenipata acha niamke ninywe maji nilale
Mkiwa mnaandika muulize na BP na SHELL za wenzenu
Kwaherini rasm acha nilale nikittafakari