JamiiForums Usiku wa manane

Jobless nna mke na watoto af mchepuko haujui kama nna familia na umeniahidi kazi nzuri kwani dadaake ni HR wa kanpuni kubwa lililo chini ya wadosi wa kizungu , yaani mshahara si chini ya jiwe mbili (2M) per month.

Nmejifunza kuishi na mwanamke mmoja hadi uzeeni si kazi rahisi kama tudhaniavo
 
Kwaio umeamua kuchepuka ili upate pesa za kuhudumia familia yakoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Angekua ni mkeo ndo kapata huo mchongo ungekubali? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
🀣🀣mwanaume ni nguzo ya familia, mwanamke kiumbe dhaifu, akipata mchongo anaenda mazima lakin baba hukumbatia vyote , atasimama na familia pia mchepuki utahudumiwa pasipo kuathiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…