Hapanaa nimechelewa kidogo lindon.. Nilikua nalaza vifaranga vya watu mwaego.. ๐๐๐
Unashida wewe ...Nina allergy na maji ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Mi napenda kuyanywa tu sio kuyaoga ๐คฃ๐คฃ
Sasa huyo aliyekataa kuoga yupo toka jana..Hapanaa nimechelewa kidogo lindon.. Nilikua nalaza vifaranga vya watu mwaego.. ๐๐๐
๐๐๐๐๐๐๐๐Na hilo joto la mabibo lakini bado huogi.. ๐๐๐๐
Nilivyokuwa form 4 Arusha nilipiga siku 47 nilikuwa napiga msuli kinoma no water mpaka nikaanza kutema kama dampo wenzangu wakaniambia oy bro unazingua asee ndo nikaamua kuingia chemba asee nilitumia lisaa mkuu ni maukurutu hayaishi mwilini ๐คฎ๐คฎ๐คข๐คขUngekaa njombe wewe..... ๐ค๐ค๐ค๐ค๐ค๐ค๐ค๐ค๐ค๐ค๐ค
Usingeoga miaka..
Ndo maana nimesema napenda kunywa maji tu sio kuogaUnashida wewe ...
Sasa si utapungukiwa maji mkuu mwilini
Yeah nipo private hivyo ratiba za huku ni tofauti ๐ตAaaaaah kumbe.....
Ahahahahah ulikua ukiambiwa mbona uogi unasema *" nimekuja kusoma sio kuoga"" alaaaaahNilivyokuwa form 4 Arusha nilipiga siku 47 nilikuwa napiga msuli kinoma no water mpaka nikaanza kutema kama dampo wenzangu wakaniambia oy bro unazingua asee ndo nikaamua kuingia chemba asee nilitumia lisaa mkuu ni maukurutu hayaishi mwilini ๐คฎ๐คฎ๐คข๐คข
Sema nilingara after 4 daah aiseeh acha tu ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
๐๐๐ Hapo saw... Enjoy life banaYeah nipo private hivyo ratiba za huku ni tofauti ๐ต
Hayo hayatoshi pia ๐๐๐Ndo maana nimesema napenda kunywa maji tu sio kuoga
Uzuri ilikuwa single sex hivyo kidume zaidi inapigwaAhahahahah ulikua ukiambiwa mbona uogi unasema *" nimekuja kusoma sio kuoga"" alaaaaah
Maji muhimu kwa akili ya ubongo sawa
Mwendo wa kupuliza tuuu....๐๐๐๐Uzuri ilikuwa single sex hivyo kidume zaidi inapigwa
Mi sio mpenxi wa movie ๐คฎ๐คข๐คข๐๐๐ Hapo saw... Enjoy life bana
Mda huu najua upo kucheki vitu vya Netflix au netnaija...?
Khaaaa ajabu hiyo...Mi sio mpenxi wa movie ๐คฎ๐คข๐คข
Mimi ni muziki tu ๐๐ movie hapana ๐
Hata wenzangu wananishangaaga sana ila ndo nilivyoKhaaaa ajabu hiyo...
Allergy wapii.. Uchafuuu๐๐๐๐Nina allergy na maji ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Mi napenda kuyanywa tu sio kuyaoga ๐คฃ๐คฃ
Mie mwenyewe nipo tangu kitamboo๐๐๐Sasa huyo aliyekataa kuoga yupo toka jana..
Ukija mimi toka juzi alafu unasema tuingie lindoni ๐ค๐ค๐ค๐ค๐ค hadi asubuhi
Ahaahahahahah wapi unabahatisha tuu... Ebu sema ni kipi kimefanya mpaka sasa hvi ujafumba machoMie mwenyewe nipo tangu kitamboo๐๐๐
Muhindi ajawahi acha mtu salamaDaah ndio nmeamka hapa kuangalia mikeka yang kama ime win๐ฅฒ๐ฅฒ..... Ahsante kanji umejua kuninyoosha week hii๐๐๐