JamiiForums Usiku wa manane

Ahahahahahahhah kama utachagua mziki alafu ukaacha she...
Wee ni mshamba πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wa karne
 
Allergy wapii.. Uchafuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu kama nyie huwa napenda kuangalia shingo zenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukitia kidole hivi ukaburuza unatoka na roughages[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umejuaje acha kabisa ni roughage kweli [emoji4][emoji4]
 
Ahahahahahahhah kama utachagua mziki alafu ukaacha she...
Wee ni mshamba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wa karne
Mi mwenyewe sielewi mkuu

Response yangu ni tofauti sana

kama kuna amapiano niliwahi sikiliza aseee mwili ulitetemeka kama shoti na goosebumps ju asee daah ile feeling sijawahi pata kwa demu yoyote yule daaah muziki huuu

Unanipagawisha sana [emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]music
 
AlaaΓ aaaaaah
Wee inaelekea uliye nae ana shida kweli
Yaan ni don't care kabisa,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Vitimu vya South Africa huko.....maaaaninaaaaaaaa 🀬🀬🀬😑
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€“πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ Daaah hadi nimecheka kwa sauti daah aiseeee
Yaaani muhindi kaona hapo ndo anaweza kuumiza vijana
 
Hujawai kutana na kitu mnato.... Unaweza sahau ubet wa pili wa nyimbo ya TaigaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…