JamiiForums Usiku wa manane

Na uko na vyote sasa😍😍😍hongera mamaa
 
Daaah komanya ulizingua sana ungesema hata uko kenya nakuru kwenye NGO kubwa una stress za bosi wako πŸ˜‘πŸ˜‚
 
02:45 natamani kuwa single, kibaya ubuyu ndo unanikaba koo
Mabinti wenye vifundo, hao ndo wananitoaa roho

Asili ya Jambo lile, ni kama chakula so lazima nile
Mi mbovu Sana wa Jambo lile, nina ufundi wa kutosha

Mwenzako mi nilikufa,nikazikwa,nikaoza
Mapenzi yalinitesa yalinituoa
Sasa nimefufuka ehh

Komasimita everyone πŸ’ͺπŸ™πŸ’ͺ
 
When the time is right,I will marry.
Naachana na Hawa vijana wa kataa ndoa
Ohooo

Mi niko pale ukiletewa mtoto ambae si wako usilaumu mtu mkuu [emoji19] kuna zongwe huko mi ninashuhuda kama 69 hivi [emoji117] za ndoa za watu zinatisha sana [emoji1785][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Ishi kama Ronaldo
Au unasemaje
 
Hupendi kuoga lakini
 
Kwenye niwape mimba tu na kuishi nao sio,imekaa vizuri pia,
Ila ndoa sikatai,kuchapiwa Siri ya ndani,wakinimegea na mimi naitafuta mnyonge nammgea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…