JamiiForums Usiku wa manane

Ndo maana nimemwambia huu ni ushauri maamuxi ni yake

Apime mwenyewe na akili zake zipoje kama ni hafifu kama za Poor Brain akae mbali tu sasa πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hehe watu wana overate sana kuoga newton alikuwa anaoga mara 2 au 1. Kwa wiki na pia alikuwa mkeshaji sana

Na mimi hii tabia nimeianza since o level hivyo nimezoea πŸ˜‘πŸ˜‘
Mwenzio newton alikua uko hata hali ya hewa baridiiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚mtu upo mabibo katikati hapa joto kama loote alafu bado huogiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Utakuja jutia hiyo tabia....
Sasa kama muda wote nipo hostel nimejifungia na code tu ma program kwenye pc hata wiki nxima sitoki kuoga ya nn

Yaani daily routine yangu ni kula,kucode,kusikiliza muziki,kusali,kulala. Hapo hapo ndani kwangu πŸ€”

Hivyo naoga siku nikienda chuo tu au kwenye mizunguko 😊
 
Mwenzio newton alikua uko hata hali ya hewa baridiiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚mtu upo mabibo katikati hapa joto kama loote alafu bado huogiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Haha πŸ˜ƒ ntapata homa nikioga daily mwili haupendi

Japo huwa nawashwa sana na kutoa ukurutu

Ila kidume zaidi napotezea πŸ˜’πŸ˜‘
 
CP inapanda hapo kama ujaoga...!??
 
Huyu ndo maana abaki kwa music tu.. Kuke kwengine kwa uchafu huuu mmnhh mnhhh hapanaaaa haitowezeknπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kuna sehemu zitakua zinatemaaa vibaya mnooo huyu hatowezaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Dahan πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ hatareee hiyo
 
Huyu ndo maana abaki kwa music tu.. Kuke kwengine kwa uchafu huuu mmnhh mnhhh hapanaaaa haitowezeknπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kuna sehemu zitakua zinatemaaa vibaya mnooo huyu hatowezaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hahaha 🀣. Sijaamua tu kuwa msafi sio kwamba siwezi lkn

Ni maamuxi sijachukua
 
Kwaio mzee wa ma programming.. Wewe huogi kwaajili yako mwenyewe unaoga kwa ajili ya wengineπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwaio mzee wa ma programming.. Wewe huogi kwaajili yako mwenyewe unaoga kwa ajili ya wengineπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yaani naoga kama nikitoka ili nisiwape tabu watu ya harufu mbaya 🀒🀒🀒🀒 wasije wakatapika

Ndo maana kiroho safi nahakikisha sina ukurutu na mwili unanukia vizuri kabla sijatoka ndani

Ila nikijifungia ndani wiki walai siogi ngooo 🀣🀣🀣🀣
 
Ndo huwez sasa had uamueπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ntakuwa msafi nikiwa na hela za kutosha au nikiajiriwa sehemu nzuri nzuri

In short financial stable ndo ntaanza kujipenda

Au ntaagiza mtu awe ananiogesha asee maana kuoga ni kazi kwangu πŸ€”.

Kufua ndo usiseme 🧴
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…