JamiiForums Usiku wa manane

Na comment wap hapa?
 
Sikuweza tembea nilisimama kwenye mvua nikimtizama wakati anaishia , kama vile alicast spell on me , kufika Nyumbani , nkasema hapana sikai nikaoga chap nikabadili mavazi alafu huyoo Kwenda kupata kahawa , njia nayopita huyu hapa kuniona kasimama katikati .. siwez hata kuongea Taratibu akasema za Saa hizi , Naweza pata number yako , I gave her nikamsindikiza tena kwa macho .. siku zikasonga mahaba mengiiii mengiii naoneshwa Mie .. Siku ya tukio ikafika Kwanza nlipewa kimoko , utamu ukabaki .. na ukweli kujua anajua , siku zikasonga nimefall nimefall Ila baada ya kuona kaniona many times drama zikaanza , Mtoto WA watu Mimi nafosi penzi , kuja kupata details shes married , na anapenda light skinned men , ako namultiple relationships .. alafu at last Leo kaniambia she just wanted my Mjulus and nothing more
 
Can't seem to take my eyes off you
Especially your Python move
The way you roll that thing
Me wan hold that thing
Baby, let me take a look
Oh Lord, me want all the girls in the whole world
I know what I'm doin' is so wrong
But, since no man can focus
We definitely don't give a ***
 
Ooooh pole sana dah kweli huyu alikutumia, angesema tu kuwa ameolewa ili wewe ujue cha kufanya. Natumaini usingefall kiasi hiko... pole sana so uko single? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kiukweli nampenda and am too honest , Sina Namna . Siyo kwa sababu ya shape yake ya kibantu wala nini her eyes her eyes her eyes .. The way anafeel my thing inside Her, the way anarespond to my ..damn damn ..

Hapa nimetoka kuangalia movie after we fell duh ..

Siku hizi yapo mahaba Ila ya kuigiza .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…