Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Usitutishe mimi nakupenda wewe pamoja na huyo bwana wako πHuyo mdogo wangu kabisa, usimfanye mwenzako akafatiliwa. Jamaa yangu anawivu sana. Shauri yenu msijesema sikuwaambia, niko hapa ππππππππ
Wivu kidonda , ukishiriki utakonda ..Huyo mdogo wangu kabisa, usimfanye mwenzako akafatiliwa. Jamaa yangu anawivu sana. Shauri yenu msijesema sikuwaambia, niko hapa ππππππππ
Siku akikujia pm ndiyo utajua, kama nayeye unampenda ππππUsitutishe mimi nakupenda wewe pamoja na huyo bwana wako π
Kama ulikuwa kwenye akili yangu πππππUsitutishe mimi nakupenda wewe pamoja na huyo bwana wako π
Sisi hatuwapendeni wewe na Mwachi wako...Wivu kidonda , ukishiriki utakonda ..
Jambo letu Hilo Mamdogooo ..
Yeye WA nini au basi ...
Nakupendeni nyote mwambiee...
Nakupenda wewe na huyo Bwana ako.
π₯²π₯²π
Mam .. not mama Acha ukorofi John wokaMama tena kamzaa nani kwenu?
Huyu maji ya mchana ndio yanaaza kuchemka kama umemshindwa niambie niendelee nae nilipo ishia
The economist, Bloomberg business week, barrons,money hizo zinatosha ila kwa free muda mwingine.Hivyo bro .. naomba list
Wewe usitutishe nyie wote wachumba πππ mimi kukupenda siachi na hapa nipo mbioni kukupigia simu najua upo nae ili nialibu af tuchukuw ilo jimboSiku akikujia pm ndiyo utajua, kama nayeye unampenda ππππ
Yaani wewe ningewahi kidogo tu, ningekuzaaMam .. not mama Acha ukorofi John woka
Shida wote waswahili hapa ππKama ulikuwa kwenye akili yangu πππππ
Ni wakati mwengine WA kufose penze ..Sisi hatuwapendeni wewe na Mwachi wako...
The economist, Bloomberg business week, barrons,money hizo zinatosha ila kwa free muda mwingine. @Light saber
Ahah ita vizuri mamy ila Bantu anapenda sana ukimuita kipenzi or lovelyMam .. not mama Acha ukorofi John woka
Mwanangu Mwachi ulale sasa, au JW inafanya kazi muda huu?Ahah ita vizuri mamy ila Bantu anapenda sana ukimuita kipenzi or lovely
Ata wewe ungechelewa kidogo ange kutotoa bhna πYaani wewe ningewahi kidogo tu, ningekuzaa
Ata sielewi lovely au umeninywesha jd ili nifungukeMwanangu Mwachi ulale sasa, au JW inafanya kazi muda huu?