[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Hivi mnajua mama zetu pia wanajuaga mapema sana kama pisi tuliopeleka nyumbani kuitambulisha kuwa sio kabisa yani ile kuwa hapa mwanangu kakosea kuchagua na tukipatia mama anajua huyu ni wa ukwel anakuambia hapa mwanangu umechagua sema vijana wengi huwa tuna ignore fellings na thoughts za wazazi wetu tunajuaga always mzazi anataka kuweka rohoo ngumu tu, lakini mara nyingi hao wanawake wanakujaaga kuwa wasumbufu pasua kichwa na saa zingine mpaka anakufanya ufilisike[emoji1787][emoji1787][emoji1787] SipeNDI kuoGA fundi bishooDah kweli sema ila tutafanyaje sasa ndo maana wengne wanauliwa kwa tamaa za kijinga mtu humpendi usile mali zake aisee
Hii ni kweli[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Hivi mnajua mama zetu pia wanajuaga mapema sana kama pisi tuliopeleka nyumbani kuitambulisha kuwa sio kabisa yani ile kuwa hapa mwanangu kakosea kuchagua na tukipatia mama anajua huyu ni wa ukwel anakuambia hapa mwanangu umechagua sema vijana wengi huwa tuna ignore fellings na thoughts za wazazi wetu tunajuaga always mzazi anataka kuweka rohoo ngumu tu, lakini mara nyingi hao wanawake wanakujaaga kuwa wasumbufu pasua kichwa na saa zingine mpaka anakufanya ufilisike[emoji1787][emoji1787][emoji1787] SipeNDI kuoGA fundi bishoo
Kaka nimehudumia mimba miezi tisa [emoji16][emoji16]kumbe mimba yngu ilivofika miezi 5 kaitoa afu kabeba mimba ya mtu mwngnE [emoji24][emoji24][emoji24]inaniuma saNa
Dah n kweLi mfaNo kuna mmojA umu aliwah kutoa thread alimpeleka mwanamke wake ukwen mshuwa wake akamuambia apa umekosea Mwanngu[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Hivi mnajua mama zetu pia wanajuaga mapema sana kama pisi tuliopeleka nyumbani kuitambulisha kuwa sio kabisa yani ile kuwa hapa mwanangu kakosea kuchagua na tukipatia mama anajua huyu ni wa ukwel anakuambia hapa mwanangu umechagua sema vijana wengi huwa tuna ignore fellings na thoughts za wazazi wetu tunajuaga always mzazi anataka kuweka rohoo ngumu tu, lakini mara nyingi hao wanawake wanakujaaga kuwa wasumbufu pasua kichwa na saa zingine mpaka anakufanya ufilisike[emoji1787][emoji1787][emoji1787] SipeNDI kuoGA fundi bishoo
Acha kaka sema nisiongee saNa acha nikae kimYa tu ipo sku nitatoa ushuhudaDuh noma sana
Unatu chora tu we dada sio02:47😂
Mpaka nishakuelewa A to Z ushuhuda wako mkuu 😒 daa pole sana 🐜Acha kaka sema nisiongee saNa acha nikae kimYa tu ipo sku nitatoa ushuhuda
U see[emoji419]Dah n kweLi mfaNo kuna mmojA umu aliwah kutoa thread alimpeleka mwanamke wake ukwen mshuwa wake akamuambia apa umekosea Mwanngu
Active invisible mode😂Unatu chora tu we dada sio
Kumbe upo[emoji102]02:47[emoji23]
Hahaha 🤣😂. We ngoja Wanao triplets waanze kulia usiku huuu sijui utawaambia singeli au amapiano.Active invisible mode😂
Nasubr team kataa ndoa mmalize kwanza😂😂😂
Inasaidia kujifunza ukiweka tu tag maisha ni mchakato kujifunza hakuna mwisho kujifunzaAcha kaka sema nisiongee saNa acha nikae kimYa tu ipo sku nitatoa ushuhuda
Kbsa aani oLa dah wanawake wanaongozwa kwa tamaa ndo maaN tuliamBiwa tuish nao kwa akiLiU see[emoji419]
We mchawi niniii umejuajee😂😂😂Hahaha 🤣😂. We ngoja Wanao triplets waanze kulia usiku huuu sijui utawaambia singeli au amapiano.
#kataa ndoa ndoa ni utapeli #
Hmmnh walaaa... Kuna kitu kinatafuta kesi hp😂😂😂Mbona kimya kingi au mjadala umekuweka pembeni
Tunzaaa vifaranga vyako dadaWe mchawi niniii umejuajee😂😂😂
Kifaranga kimoja kinasumbua hapaa.. 😢😢nimetoka nacho mbali kisije amsha wenzie apa nawaza nikipe kilambe lambe jaguarmaster kilale looh😂😂😂
Hmmnh walaaa... Kuna kitu kinatafuta kesi hp[emoji23][emoji23][emoji23]