JamiiForums Usiku wa manane

Huyo Bantu Lady kashindwa hata kuingia ndani, kalala mlangoni. Mzee wa kupambania ni mkabaji, anaishi kwa nguvu za macho na mikono, mtaji mbio. Mida hii utamkuta daraja la mfugale,anategea walevi πŸ˜…
🀣🀣🀣 mtaji mbio. Unaweza kuniona nimetulia pub au bar kumbe nawalia mingo watakaolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…