JamiiForums Usiku wa manane

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Mfano Somalia vita kilasiku lakin watu wana mimba na watoto wadogoπŸ˜‚πŸ˜‚ndo utajua hujuiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Watu wapo very serious an..
Utafikiri wanalipwa
Sema ndo hivo tena hivi vitu havina mwenyewe an hata uwe vipi hapo uchomoiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tutakuwa tunashindana sasa na wao wakiaza kazi si tutakua tunapokezana sauti kama tunaimba kwaya uyu akisema ooh come jirani ama oh shit πŸ˜‚
Siku nyingine una record then una turn on sabufa
Una funga mlango huyo unaingia zako kupiga maji.. kule ile show unawaekea kuanzia sa 12 jioni..
Kwisha habari hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…