dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
ooho.!! [emoji47] kazi za usiku tena, embu nieleze vizur[emoji144][emoji3] [emoji3] [emoji3] nipo niitolelee wap..sa nyingine kazi za usiku[emoji6] [emoji6]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hongera sana Dr. Shika,nasikia umefanikiwa kujidhamini [emoji12] [emoji12]
Kumbee Thad anachonganisha ee..vp lkn hyo michezo Mzee anajua?Wala hakuna kitu kibaya Inna rafiki yangu, huwa KK ananifundishaga michezo fulani wakati mzee yuko bize, na michezo yenyewe haina madhara.
Unajua huyu Thad ana sababu zake tu wala usimsikilize
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hata msiponikaribisha nitatumia kioo cha bibi yangu kuona yote mtakayofanya huko...Hahaha na kweli, huyu ni zaidi ya CCTV camera[emoji40]
nashukuru!! ubarikiweNimekuelewa shem
Haya[emoji113]
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Kwa kweli nimebobea kwenye utabibu wa macho,dr. Shika alikuwa classmate wangu kule Urusi
Hahaha hapana mimi wala warembo siwajui[emoji40]Sawa kijanaaa au nakuzibia rizik nn humu ndan za watoto wazur
Kuandaa nguo za kesho,kupiga pas[emoji4]ooho.!! [emoji47] kazi za usiku tena, embu nieleze vizur[emoji144]
Hahahahha kweli umenikumbusha ndo mlipokutana kwa ajili ya mafunzo[emoji85] [emoji12]Hahaha huyu nilikua namwona sana mirembe kipindi kile niko boarding[emoji40]
Bila shaka huyo aloleta hiyo BMW ndio anastahili kuitwa shemeji [emoji12] [emoji12] [emoji12] hao wengine watatambulika kama mume wa dada[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hivi ile BMW imepaki pale kwako ni ya nani?[emoji40]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119]Kwa kweli nimebobea kwenye utabibu wa macho,dr. Shika alikuwa classmate wangu kule Urusi
hmm.!! shem nawe unanitupia jiwe gizani daah[emoji19]Kazi ni kazi mkuu
Namuamin huyu shem hiyo kazi lazima izae mmatunda[emoji38] [emoji85]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] jje's, Thad, Maserati, NeybrightHahaha hapana mimi wala warembo siwajui[emoji40]
Ndo kina nani hao?
Na wewe ni mmoja wapo[emoji85]
Hapana ila anajua huwa naenda kufundishwa[emoji12]Kumbee Thad anachonganisha ee..vp lkn hyo michezo Mzee anajua?
Hakika kama umesoma na Dr. Shika huwez shindwa hili[emoji38][emoji23] [emoji23] [emoji23] Hata msiponikaribisha nitatumia kioo cha bibi yangu kuona yote mtakayofanya huko...
[emoji12] [emoji12] [emoji14] [emoji14]hyo hatariiiHapana ila anajua huwa naenda kufundishwa[emoji12]
Komredi kwakweli kwa uchovu nilio nao hata keyboard siioni vizurihilo jukumu nakuachia wewe kamanda
ova natumai utalitendea haki kimsingi kabisa
duuh.!! sikuwez[emoji3] hapo kama mpira basi hilo bao la kisiginoKuandaa nguo za kesho,kupiga pas[emoji4]
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Bila shaka huyo aloleta hiyo BMW ndio anastahili kuitwa shemeji [emoji12] [emoji12] [emoji12] hao wengine watatambulika kama mume wa dada
Ndo ivo yani, afu uku nilipo nimewaacha masaa mawili ko kwenu inakuwa ni usiku wa wanga na wanandoaWewe mbona hujajifunza? Au ndo ule msemo wa fuateni maneno yangu na si matendo yangu![emoji12] [emoji12] [emoji12]