[emoji23] [emoji23] matunda yapi? Hayahaya ya baada ya miezi 9 au?Kazi ni kazi mkuu
Namuamin huyu shem hiyo kazi lazima izae mmatunda[emoji38] [emoji85]
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji12]hmm.!! shem nawe unanitupia jiwe gizani daah[emoji19]
Hahahaha nitetee basi, kama nasalimiwa na umri huu nikifika kama wa Mughabe si ndo itakua kasheshe[emoji85][emoji23] [emoji23] [emoji23] Naona unakimbia kivuli chako [emoji12] [emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]duuh.!! sikuwez[emoji3] hapo kama mpira basi hilo bao la kisigino
Jje's ni dada wa Nganengo mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] jje's, Thad, Maserati, Neybright
Hakuna ubaya kabisa, haina madhara ni kama nyoka ambaye hana sumu[emoji12][emoji12] [emoji12] [emoji14] [emoji14]hyo hatariii
aisee, kwa namna hiyo inabid ungepewa kazi kitengo cha habari ikulu maana unaandika meseji vizuri hivo na bado unadai huoni,Komredi kwakweli kwa uchovu nilio nao hata keyboard siioni vizuri
[emoji15] [emoji15] [emoji15][emoji23] [emoji23] [emoji23] Hata msiponikaribisha nitatumia kioo cha bibi yangu kuona yote mtakayofanya huko...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji40] [emoji40] [emoji125]Hahahahha kweli umenikumbusha ndo mlipokutana kwa ajili ya mafunzo[emoji85] [emoji12]
Usiogope ni list za warembo tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Jje's ni dada wa Nganengo mkuu
Taratibu na list zako[emoji38] [emoji38] [emoji38]
Bilashaka kwa 900 itapendeza zaidi....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na nyumba lazima ninunue[emoji12]
Itapendeza zaidi[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kama ndo ivyo itabidi tualike wachungaji na mashekhe wa kutosha[emoji40]
[emoji13] [emoji13] haya kama ulikwepo vile hiyo hiyo swadakta..!![emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji12]
Hapana shem, si ile kazi yako ya kwenye PC ulosema?
Ndo nimeisema hapo lazima uwakilishe kwa boss mapema tu baadae[emoji85]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Bila shaka huyo aloleta hiyo BMW ndio anastahili kuitwa shemeji [emoji12] [emoji12] [emoji12] hao wengine watatambulika kama mume wa dada
Hivi ana ile bakora anayoisemaga Nganengo?Hapana ila anajua huwa naenda kufundishwa[emoji12]
[emoji15] [emoji15] [emoji15][emoji23] [emoji23] [emoji23] jje's, Thad, Maserati, Neybright
Basi mnialike tu twende wote nikawe ripota wa popoz hukoHakika kama umesoma na Dr. Shika huwez shindwa hili[emoji38]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125]Hapana ila anajua huwa naenda kufundishwa[emoji12]